Mwananchi alia na kuzimia baada ya kubomolewa nyumba yake Mbagala

Mwananchi alia na kuzimia baada ya kubomolewa nyumba yake Mbagala

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,873
Reaction score
6,136
Jinsi ilivyokuwa mpaka mwananchi kuzimia mbele ya mbunge baada ya kubomolewa nyumba yake katika manispaa ya Temeke Mbagala -Toangoma

Mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio lilivyokuwa nimeiweka chini apo

Jinsi ilivyokuwa mpaka mwananchi kuzimia mbele ya mbunge baada ya kubomolewa nyumba yake katika manispaa ya temeke mbagala -toangoma

mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio lilivyokuwa nimeiweka chini apo
mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio lilivyokuwa nimeiweka chini
 
mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio lilivyokuwa nimeiweka chini

vp mkuu kwa mikasa kama hii, utamuunga mkono dc magoti kuboresha ile sera yake kununua ardhi kule kisarawe?
 
Back
Top Bottom