1. Bahati mbaya kinyarwanda changu cha kuombea maji tu, vinginevyo ningetafsiri ubeti hadi ubeti coz i'm quite sure hujui ameimba nini, you are just copy-pasting the government's position. kama wimbo ungekuwa mbaya na unaamsha chuki umekuwaje maarufu NDANI YA RWANDA?, umesababishaje kagame aseme "i m not a musician trying to please everyone..." in direct reference to the "revision" charges of the song to "please the hutus"? huyu msanii ni mtutsi aliyepoteza familia yake 94, unawezaje kusema eti anaamsha machungu na analeta uchonganishi kwa vile ame-acknowledge kuwa na wahutu nao waliuawa? Huyu bwana mdogo ni mtu wa mungu, hawezi kuvumilia dhambi ya kila mwaka kuimba nyimbo za kuomboleza watutsi peke yao, wakati akijua kuwa waliouawa wengi ni wahutu, na ukweli kuwa wengi wanaoadhimisha wiki ya genocide ni watutsi waliorudi baada ya kagame kuteka nchi ambao hawakufiwa hata na hata kuku let alone ndugu yoyote, badala yake wanageuza watutsi waliofiwa kiukweli kama yeye, mtaji wa kupata sympathy kwenye international media, ili kuhalalisha mapinduzi haramu ya kagame mwaka 94.
Kosa lake ni kusahau tu kuwa ku-acknowledge kuwa wahutu nao walikufa, kutaibua swali la nani aliyewaua? kama ambavyo swali la victoire ingabire "when will our dead ones be remembered" linaibua swali lingine la "how many are they" ambalo jibu lake litageuza theory ya "genocide against tutsis" kuwa "genocide against hutus".
2. Its very funny huo ubaya wake haukuonekana toka miaka ya 2000 alipokuwa tayari maarufu, wakati serikali inampa scholarship 2003 kwenda belgium, haukuonekana aliposhauriwa na jeanette kagame kurudi Rwanda 2010, mpaka mwaka huu coincidentally baada ya kutoa huu wimbo? Mbona kila mtu anayekuwa na tofauti na uongozi wa RPF suddenly anageuka terrorist, genocidaire, divisionist etc in a flash! I mean even osama bin laden took some time to transform from a rich boy into a terrorist, its a process. you don't just wake up one day and switched it on like electricity. Kizigo survived the "genocide against tutsi" himself, how do you accuse him of collaborating with "negative" forces that killed his family, eti just for a political position, which has term limits anyway, by simply talking to RNC iliyokuwa formed barely 2 years ago? This is the same BS said about karegeya, same is said about Nyamwasa, rudasingwa, himbara, all of which fought in 94 alongside kagame.
Sitashangaa one of these days kusikia louis mushikiwabo naye akigeuzwa terrorist, genocider blah blah when she falls out of favour...if this sounds funny to you now, remember that it would have sounded even funnier if someone would have told you 5 years ago, that today karegeya, rudasingwa, nyamwasa etc, would be accused of the same charges.
3. RNC and FDLR are the only real opposition. Kwa vile nina wasiwasi na ufahamu wako juu ya rwandan politics, nikufahamishe kuwa almost all opposition actually ni alliances created by RPF. Yaani chama cha upinzani kinashirikiana na RPF kuweka mgombea mmoja, what type of opposition is this? majority ya majimbo ya upinzani yanashikiliwa na hizi alliances.
Hii ni kwa sababu internally Rwanda hakuna upinzani, anzisha chama uone cha mtema kuni. Hivyo kwa kuona aibu kuwa Rwanda itajulikana kuwa ni dictatorship, inabidi RPF yenyewe ndio itengeneze upinzani, halafu ishindane na yenyewe i.e mgombea wa RPF vs mgombea wa umoja wa RPF na chama cha upinzani. Vinginevyo hakuna upinzani, vyama vyote huru nje ya hivi vya kutunga, lazima vipewe kesi, viongozi wafungwe, wauawe etc.
Uchaguzi uliopita kulikuwa na jumla vyama 9 including RPF, vyama vinavyounda alliance ni 7, vyama nje ya alliance ni viwili, na hivyo viwili uchaguzi wa 2003 vilikuwa kwenye alliance vikimsapoti kagame kama hawa wenzao, so they are not entirely free even now, wamepewa tu vyeo kuleta impression ya democracy.
Hata sasa hivi wewe ukianzisha chama cha siasa nje bila uhusiano na RPF nakuhakikishia ndani ya wiki moja tu utakuwa tayari na kesi za genocide, divisionism, revisionism, terrorism, kushirikiana na FDLR na RNC blah blah....Hiyo ndio situation.
Tuhuma zote dhidi ya RNC na FDLR (political wing), ni za kupika wala hazijawahi kuwa proven in any competent court. Wewe labda uniambie which court in Rwanda proved kwamba mabomu sokoni ni kazi ya FDLR na RNC? hizi zote ni tuhuma za prosecutor tu and nothing else.
Hata huo ugaidi/uharamu wa RNC ni by extension. RNC haina hata mazungumzo wala uhusiano na FDLR, kama yapo yathibitishe, what happened ni kwamba RNC walisema kuwa watashirikiana na vikundi vyote even armed ones, to find a peaceful solution (rejea ile barua ya karegeya) in Rwanda.
Now, since FDLR is an armed organization, then by extension ndio sasa RNC inaitwa a terrorist group by kagame's government. This is pure stupidity that can only be explained in a dictatorship. FDLR leaders wako mpaka kwenye list za UN za kutosafiri, if RNC is collaborating with FDLR do you think its leaders would be living in U.S of all places
as political exiles given the relationship between U.S and Rwanda?
This is possible only because the definition of a terrorist in rwanda is very unique to the rest of the world! create a poll anywhere kuchagua suggestion ya peace talks with FDLR ya kikwete au reaction ya kagame to the advice, halafu uone nani atashinda, this is because what FDLR is in kagames eyes is different from everybody else.