eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Mzee Elvis Musiba hatunae.Jmali aka Elvis Msiba
Mzee Elvis Musiba hatunae.Jmali aka Elvis Msiba
Labda FACT za interahamwe,and then eti Daktari wetu wa muhimbili?keep fooling diotss,uninformed and ignoraaants,by any definition you are not Tanzanian..go weep
Track released more than 3 yrs ago hiyo connection yako doesn't make any sense,sitaki kuwa judgemental hapa maana sina details/facts,ila sioni cha ajabu na arrest kama hizo hata hapa states lots of people wanakuwa arrested daily na terrorism charges kama hizo,at least yuko mikononi kwa polisi na will be given his day/trial in court/defending lawyer kuliko kuokotwa dead on the street,ila kwako for some reasons this is good news
jMali,
Wimbo wa amateka umetoka miaka mitatu iliyopita. Sasa kama Rais Kagame alikuwa anataka kumwinda angeshamkamata miaka hiyo. Unapotegemea FDLR na RNC wakubali kuhusika na hii foiled plot unakuwa si objective. Pia kinachokushangaza kuhusu RNC na FDLR kushirikiana ni nini hasa? Hili tatizo kila siku nasema hapa is bigger than the tutsi/hutu divide. Being tutsi or hutu does not guarantee allegiance to either side. You know better than you like people to believe here. Punguza propaganda. Suala la Kizito na saboteur genocidaire conspirators wenzi wake litaletewa ushahidi mahakamani, tatizo liko wapi kwani? Rwanda National Police wako makini sana. Wameshakamilisha uchunguzi na kuwakabidhi watuhumiwa kwa Prosecutor. They will be tried in a court of law.
Do you think you are making any sense?Atleast hawa ni journalists with credentials....wewe ni ghost writer..lol
1. Where else do suspects get kidnapped and hidden at secret locations for a week and then wanaibuliwa to "give confessions to the media" before being taken to court? only in rwanda! Suspects wote wa design hii huwa wanatishiwa maisha ya familia zao popote walipo duniani, hata karegeya na nyamwasa ndugu zao wamenyang'anywa passports za rwanda. Hiyo confession ni matokeo ya blackmail tu hamna kitu hapo. The guy is doing it for his family, nothing else.
2. Kizito mihigo ni mmoja wa survivors wa mauaji ya interahamwe 1994, he is a tutsi!, a real tutsi born and bred in rwanda, not tutsis from tabata and tegeta like the ones in jf, how possible is it eti, leo hii ashirikiane na fdlr? Wale wale supposedly "tutsi killers" ambao walimuulia ndugu zake, tena for money and cheo?
3. Tuhuma za mashambulizi ya grenades kigali hazijawahi kuthibitishwa kuwa wahusika ni rnc, rnc wamekataa, fdlr wamekataa, hata hiyo taarifa yako hapo juu inasema hivi "both fdlr and rnc have been linked to grenade attacks in the country." linked by whom? Since when kundi la ukombozi likatae harakati zake zenyewe? Makundi yote haya ni makundi yanayoundwa na wanajeshi wa ukweli, hakuna logic yoyote ya wataalamu wa strategy za kijeshi kama hawa akina nyamwasa kupindua nchi kupitia vibomu viwili vya mkono sokoni, to what end? Hivi vibomu ni sinema ya kagame to frame these people and nothing else. Si rnc wala fdlr inayoweza kufanya mashambulizi ya kitoto kama hayo.
Ulipue jengo halafu iweje? What purpose does it serve, how does that contribute in the overall scheme of overthrowing the gov?
with due respect to rwandese,,i don't believe much in genocide story..so far i do term it " rwandese civil war" .a fellow citizen killing a fellow...,the rest will be told by rwandese themselves..
Hapo ndipo mnapodhihirisha kuwa mko kipropaganda zaidi, Obviously umemcopy paste ndugu commanche na huna information of your own, i am talking about Igisobanuro Cy'urupfu, released this year! not any other track.
very funny how you "Rwandans" conveniently mix up things!
jMali,
Hivi huoni kuwa huu wimbo ni wa kufunua machungu na uchonganishi. Kizito is a selfish puppet who uses his fame to corrupt the Rwandan youth with his revisionist vitriol. Ni mnafiki anayejifanya anampenda Mungu kumbe anatumika na RNC na FDLR kuleta machafuko. Ameshika Rosary utafikiri mcha-Mungu kumbe gaidi. As a Catholic I hold disdain for hypocrites like he. Kesi iko kwa mwendesha mashitaka. Kizito na wenzi wake watafikishwa mbele ya haki. Inasikitisha kuona kijana aliyefaidi matunda ya uongozi madhubuti wa Rais Kagame kuamua kusaliti na kushirikiana na wauaji ili tu apewe madaraka. Kwa yeyote anayefikiri FDLR na RNC wataunda serikali nawashauri wasahau tu. Haya makundi yanaundwa na wauaji wenye mirengo mikali kinzani ambayo yataitumbukiza Rwanda kwenye vita vikali visivyokuwa na mwisho.
1. Bahati mbaya kinyarwanda changu cha kuombea maji tu, vinginevyo ningetafsiri ubeti hadi ubeti coz i'm quite sure hujui ameimba nini, you are just copy-pasting the government's position. kama wimbo ungekuwa mbaya na unaamsha chuki umekuwaje maarufu NDANI YA RWANDA?, umesababishaje kagame aseme "i m not a musician trying to please everyone..." in direct reference to the "revision" charges of the song to "please the hutus"? huyu msanii ni mtutsi aliyepoteza familia yake 94, unawezaje kusema eti anaamsha machungu na analeta uchonganishi kwa vile ame-acknowledge kuwa na wahutu nao waliuawa? Huyu bwana mdogo ni mtu wa mungu, hawezi kuvumilia dhambi ya kila mwaka kuimba nyimbo za kuomboleza watutsi peke yao, wakati akijua kuwa waliouawa wengi ni wahutu, na ukweli kuwa wengi wanaoadhimisha wiki ya genocide ni watutsi waliorudi baada ya kagame kuteka nchi ambao hawakufiwa hata na hata kuku let alone ndugu yoyote, badala yake wanageuza watutsi waliofiwa kiukweli kama yeye, mtaji wa kupata sympathy kwenye international media, ili kuhalalisha mapinduzi haramu ya kagame mwaka 94.
Kosa lake ni kusahau tu kuwa ku-acknowledge kuwa wahutu nao walikufa, kutaibua swali la nani aliyewaua? kama ambavyo swali la victoire ingabire "when will our dead ones be remembered" linaibua swali lingine la "how many are they" ambalo jibu lake litageuza theory ya "genocide against tutsis" kuwa "genocide against hutus".
2. Its very funny huo ubaya wake haukuonekana toka miaka ya 2000 alipokuwa tayari maarufu, wakati serikali inampa scholarship 2003 kwenda belgium, haukuonekana aliposhauriwa na jeanette kagame kurudi Rwanda 2010, mpaka mwaka huu coincidentally baada ya kutoa huu wimbo? Mbona kila mtu anayekuwa na tofauti na uongozi wa RPF suddenly anageuka terrorist, genocidaire, divisionist etc in a flash! I mean even osama bin laden took some time to transform from a rich boy into a terrorist, its a process. you don't just wake up one day and switched it on like electricity. Kizigo survived the "genocide against tutsi" himself, how do you accuse him of collaborating with "negative" forces that killed his family, eti just for a political position, which has term limits anyway, by simply talking to RNC iliyokuwa formed barely 2 years ago? This is the same BS said about karegeya, same is said about Nyamwasa, rudasingwa, himbara, all of which fought in 94 alongside kagame.
Sitashangaa one of these days kusikia louis mushikiwabo naye akigeuzwa terrorist, genocider blah blah when she falls out of favour...if this sounds funny to you now, remember that it would have sounded even funnier if someone would have told you 5 years ago, that today karegeya, rudasingwa, nyamwasa etc, would be accused of the same charges.
3. RNC and FDLR are the only real opposition. Kwa vile nina wasiwasi na ufahamu wako juu ya rwandan politics, nikufahamishe kuwa almost all opposition actually ni alliances created by RPF. Yaani chama cha upinzani kinashirikiana na RPF kuweka mgombea mmoja, what type of opposition is this? majority ya majimbo ya upinzani yanashikiliwa na hizi alliances.
Hii ni kwa sababu internally Rwanda hakuna upinzani, anzisha chama uone cha mtema kuni. Hivyo kwa kuona aibu kuwa Rwanda itajulikana kuwa ni dictatorship, inabidi RPF yenyewe ndio itengeneze upinzani, halafu ishindane na yenyewe i.e mgombea wa RPF vs mgombea wa umoja wa RPF na chama cha upinzani. Vinginevyo hakuna upinzani, vyama vyote huru nje ya hivi vya kutunga, lazima vipewe kesi, viongozi wafungwe, wauawe etc.
Uchaguzi uliopita kulikuwa na jumla vyama 9 including RPF, vyama vinavyounda alliance ni 7, vyama nje ya alliance ni viwili, na hivyo viwili uchaguzi wa 2003 vilikuwa kwenye alliance vikimsapoti kagame kama hawa wenzao, so they are not entirely free even now, wamepewa tu vyeo kuleta impression ya democracy.
Hata sasa hivi wewe ukianzisha chama cha siasa nje bila uhusiano na RPF nakuhakikishia ndani ya wiki moja tu utakuwa tayari na kesi za genocide, divisionism, revisionism, terrorism, kushirikiana na FDLR na RNC blah blah....Hiyo ndio situation.
Tuhuma zote dhidi ya RNC na FDLR (political wing), ni za kupika wala hazijawahi kuwa proven in any competent court. Wewe labda uniambie which court in Rwanda proved kwamba mabomu sokoni ni kazi ya FDLR na RNC? hizi zote ni tuhuma za prosecutor tu and nothing else.
Hata huo ugaidi/uharamu wa RNC ni by extension. RNC haina hata mazungumzo wala uhusiano na FDLR, kama yapo yathibitishe, what happened ni kwamba RNC walisema kuwa watashirikiana na vikundi vyote even armed ones, to find a peaceful solution (rejea ile barua ya karegeya) in Rwanda.
Now, since FDLR is an armed organization, then by extension ndio sasa RNC inaitwa a terrorist group by kagame's government. This is pure stupidity that can only be explained in a dictatorship. FDLR leaders wako mpaka kwenye list za UN za kutosafiri, if RNC is collaborating with FDLR do you think its leaders would be living in U.S of all places
as political exiles given the relationship between U.S and Rwanda?
This is possible only because the definition of a terrorist in rwanda is very unique to the rest of the world! create a poll anywhere kuchagua suggestion ya peace talks with FDLR ya kikwete au reaction ya kagame to the advice, halafu uone nani atashinda, this is because what FDLR is in kagames eyes is different from everybody else.
murutongore.
Do you ever analyze anything yourself from scratch? why don't you read what you have copy/pasted then come up with your own informed opinion.
murutongore.
Do you ever analyze anything yourself from scratch? why don't you read what you have copy/pasted then come up with your own informed opinion.
you are very right, in fact the whole world calls it Rwandese genocide (neutral). Dictator kagame decided to change it in 2004 to "genocide against tutsis" and then created a set of laws to put in jail whoever questions his version.
1. where else do suspects get kidnapped and hidden at secret locations for a week and then wanaibuliwa to "give confessions to the media" before being taken to court? only in Rwanda! Suspects wote wa design hii huwa wanatishiwa maisha ya familia zao popote walipo duniani, hata karegeya na nyamwasa ndugu zao wamenyang'anywa passports za Rwanda. Hiyo confession ni matokeo ya blackmail tu hamna kitu hapo. The guy is doing it for his family, nothing else.
2. Kizito mihigo ni mmoja wa survivors wa mauaji ya interahamwe 1994, he is a tutsi!, a real tutsi born and bred in Rwanda, not tutsis from tabata and tegeta like the ones in JF, How possible is it eti, leo hii ashirikiane na FDLR? wale wale supposedly "tutsi killers" ambao walimuulia ndugu zake, tena for money and cheo?
3. tuhuma za mashambulizi ya grenades kigali hazijawahi kuthibitishwa kuwa wahusika ni RNC, RNC wamekataa, FDLR wamekataa, hata hiyo taarifa yako hapo juu inasema hivi "Both FDLR and RNC have been linked to grenade attacks in the country." Linked by whom? since when kundi la ukombozi likatae harakati zake zenyewe? Makundi yote haya ni makundi yanayoundwa na wanajeshi wa ukweli, hakuna logic yoyote ya wataalamu wa strategy za kijeshi kama hawa akina Nyamwasa kupindua nchi kupitia vibomu viwili vya mkono sokoni, to what end? hivi vibomu ni sinema ya kagame to frame these people and nothing else. Si RNC wala FDLR inayoweza kufanya mashambulizi ya kitoto kama hayo.
Ulipue jengo halafu iweje? what purpose does it serve, how does that contribute in the overall scheme of overthrowing the gov?
Mwaka huu wapinzani wa rwanda povu litawatoka sana na bado,its matter of time,mtaokotwa wote.
wanaokamatwa ndo huwa wanasema...hata mara moja makundi kama hayo ambayo hayana hadhi ya uasi per se hawawezi kuclaim responsibility as they think are to a certain percent democratic.....usilolijua ni kama ucku wa giza
Maybe if i may add. What would your "democratic" government do so someone like him if you intercept messages like those that i have "copied and pasted" Uuuhh!!! Tell me