Mwanamuziki maarufu akamatwa Rwanda

Mwanamuziki maarufu akamatwa Rwanda

kuna nchi ngumu kuishi jamani.wake up rwandese the country belongs to all not a single person

Rwanda ni nchi nzuri ya amani,inajulikana wazi kunanchi majirani na za ulaya zisizo penda kuona maendeleo yake mazuri,hao ndio wanawapa vichwa RNC &FDLR,lakini ninacho waambia watachomolewa mmoja baada ya mwingine mpaka pabaki wanyarwanda wanaojithamini wasiokua vibaraka wa maadui wa rwanda,naona humuakina jmali makelele matupu,huyo kizito ni mtu mdogo sana,umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk wewe jmali usinge mfahamu hata kidogo,na walasiamini wewe jmali kama unahuruma kwa mtutsi yeyote,watu kama kizito wanastahili adhabu kali kwani wanesahau kilicho wapata 1994,nafikiri mahali alipo baba yake analia kwa kumuona mtoto wake akimsaliti kwa kushirikiana na waliomuua,kizito si lolote si chochote ni mpuuzi fulani aliye lewa umaarufu na kujichanganya katika mambo asiyo yatambua.
 
1. 84%+ ya wanyarwanda ni wahutu,. majority of which hawamtaki kagame

2. watutsi original wa Rwanda kama huyu kizito mihigo ambao ni real survivors and victims of 1994, ambao initially walimsupport, nao wameshamchoka kagame.

3. kundi lingine lililokuwa linamsupport kagame ni watutsi waliokulia uhamishoni kisha wakarudi Rwanda wakipotoshwa na propaganda za kagame za kujenga nchi, umoja etc kama kina prof lwakabamba. Hili kundi nalo linapungua kwa kasi sana, many of these tutsis most of them highly educated, wealthy etc, wanakimbia nchi kwa sababu washashtukia kuwa wameingia choo cha kike. kama hutaki nenda rich neighbourhoods and see how much real estate prices have fallen, rich tutsis are leaving!

4. Mliobaki kumsupport kagame now ni nyinyi watutsi mnaokaa nje ya Rwanda ambao most of you hamjawahi hata kufika Rwanda, hamjui mtu yoyote Rwanda, hamna ndugu, etc, mnaopotoshwa na propaganda za newstime, mushikiwabo and co na watu kama hao.

5. kagame sasa anategemea vyombo vya jeshi, polisi, intelligence baas! Na hapa napo ana tatizo kubwa sana. Ili upate loyalty ya hili kundi ni lazima uwalipe, na ndio maana ana hasira sana na sisi, kwa sababu tumeharibu ile mirija ya fedha kutoka congo kwa kuwapiga M23. kwa hiyo fedha ya kuwalipa hawa jamaa ili wamtetee inapungua, ndio maana anabuni miradi ya ajabu ajabu ya all sorts of "funds" ambazo wananchi wanatakiwa kuchangia ili aendelee kununua jeshi. Lakini fedha hizi zina mwisho wake, and pretty soon zitaisha, jeshi na polisi watajitambua na ndio watakaompindua.
You will never go back to Rwanda,kaa huko maporini ulipojificha na njaa zako and soon or later the law will catch up with you,genocidal wenzako wamejaa prisons,running their azzes like you or dead and you are not Tanzanian
 
Rwanda ni nchi nzuri ya amani,inajulikana wazi kunanchi majirani na za ulaya zisizo penda kuona maendeleo yake mazuri,hao ndio wanawapa vichwa RNC &FDLR,lakini ninacho waambia watachomolewa mmoja baada ya mwingine mpaka pabaki wanyarwanda wanaojithamini wasiokua vibaraka wa maadui wa rwanda,naona humuakina jmali makelele matupu,huyo kizito ni mtu mdogo sana,umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk wewe jmali usinge mfahamu hata kidogo,na walasiamini wewe jmali kama unahuruma kwa mtutsi yeyote,watu kama kizito wanastahili adhabu kali kwani wanesahau kilicho wapata 1994,nafikiri mahali alipo baba yake analia kwa kumuona mtoto wake akimsaliti kwa kushirikiana na waliomuua,kizito si lolote si chochote ni mpuuzi fulani aliye lewa umaarufu na kujichanganya katika mambo asiyo yatambua.
Ungejaribu kutumia efforts kidogo kuonyesha due process ya Rwanda. Huyo jamaa ana lawyer?
Kama anaye, lawyer wake anasemaje?
Ameshasomewa mashtaka? ... If not, how long will it take?
Hayo mambo ya kuandika ngonjera za whatsapp unajipotezea muda tu, nobody believes that $hit.
Ni kama ulivyokuwa unawatetea wale vilema wa M23 eti watawapiga majeda, mayn ur funny!
 
Rwanda ni nchi nzuri ya
amani,inajulikana wazi kunanchi majirani na za ulaya zisizo penda kuona
maendeleo yake mazuri,hao ndio wanawapa vichwa RNC &FDLR,lakini
ninacho waambia watachomolewa mmoja baada ya mwingine mpaka pabaki
wanyarwanda wanaojithamini wasiokua vibaraka wa maadui wa rwanda,naona
humuakina jmali makelele matupu,huyo kizito ni mtu mdogo sana,umaarufu
wake aliupewa na pk,isingekua pk wewe jmali usinge mfahamu hata
kidogo,na walasiamini wewe jmali kama unahuruma kwa mtutsi yeyote,watu
kama kizito wanastahili adhabu kali kwani wanesahau kilicho wapata
1994,nafikiri mahali alipo baba yake analia kwa kumuona mtoto wake
akimsaliti kwa kushirikiana na waliomuua,kizito si lolote si chochote ni
mpuuzi fulani aliye lewa umaarufu na kujichanganya katika mambo asiyo
yatambua.

maendeleo ni pamoja na wananchi kuwa huru kuikosoa serikali nasikia huko hutakiwi kumsema vibaya rais
 
You will never go back to Rwanda,kaa huko maporini ulipojificha na njaa zako and soon or later the law will catch up with you,genocidal wenzako wamejaa prisons,running their azzes like you or dead and you are not Tanzanian

I was there 2 weeks ago! pili, i don't think porini kuna intaneti, tatu sina njaa, nne what law are you talking about since i am tanzanian? ooh wait i remember now, anyone against you is a Rwandan hutu.
 
Rwanda ni nchi nzuri ya amani,inajulikana wazi kunanchi majirani na za ulaya zisizo penda kuona maendeleo yake mazuri,hao ndio wanawapa vichwa RNC &FDLR,lakini ninacho waambia watachomolewa mmoja baada ya mwingine mpaka pabaki wanyarwanda wanaojithamini wasiokua vibaraka wa maadui wa rwanda,naona humuakina jmali makelele matupu,huyo kizito ni mtu mdogo sana,umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk wewe jmali usinge mfahamu hata kidogo,na walasiamini wewe jmali kama unahuruma kwa mtutsi yeyote,watu kama kizito wanastahili adhabu kali kwani wanesahau kilicho wapata 1994,nafikiri mahali alipo baba yake analia kwa kumuona mtoto wake akimsaliti kwa kushirikiana na waliomuua,kizito si lolote si chochote ni mpuuzi fulani aliye lewa umaarufu na kujichanganya katika mambo asiyo yatambua.

1. In a democratic country mtu anafanikiwa kwa jitihada zake binafsi na si kwa hisani ya rais. Just listen to yourself, eti "umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk....." hivi hakuna mtu yoyote Rwanda aliyefanikiwa on his own without being "helped" by kagame? Hii ndio syndrome kubwa ya watu mnaokuwa dictated, you think the dictator is God. Wewe hata mkeo akipata mimba utasema "isingewezekana bila kagame" hahaha.

2. Kinachowatisha ni kujua kuwa watutsi wa dizaini zote, wale wa nje na wa ndani hawamtaki kagame. Haiwezekani hata siku moja nishirikiane na watu walioua wazazi wangu kama sio kuwa hao ninaoshindana nao ni mashetani zaidi! lakini hata hivyo si FDLR wala RNC walioua wazazi wa kizito. FDLR imeanzishwa miaka ya 2000, RNC ni juzi juzi tu hapa. You are not fooling anybody with that propaganda of linking FDLR to "genocide", unless of course you can provide specific names of genocidaires within FDLR, which i know you can't.
 
I can afford to reply to a dimwit, but my government however doesn't have the time to even know that you exist. Why don't you be like your "coalition of dimwit" member rushasha and concede

maybe because i am not a dimwit as you think and you actually are for thinking that i am!
 
lets agree to disagree. RNC ni watu walioweka bayana malengo yao na kila mwenye akili timamu anajua kuwa hawa ni wanasiasa na si materrorists.

kama unajua ni wanasiasa una akili kweli kudhani wangeweza ku-claim responsibility kwa matukio ya grenade?
 
Rwanda ni nchi nzuri ya amani,inajulikana wazi kunanchi majirani na za ulaya zisizo penda kuona maendeleo yake mazuri,hao ndio wanawapa vichwa RNC &FDLR,lakini ninacho waambia watachomolewa mmoja baada ya mwingine mpaka pabaki wanyarwanda wanaojithamini wasiokua vibaraka wa maadui wa rwanda,naona humuakina jmali makelele matupu,huyo kizito ni mtu mdogo sana,umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk wewe jmali usinge mfahamu hata kidogo,na walasiamini wewe jmali kama unahuruma kwa mtutsi yeyote,watu kama kizito wanastahili adhabu kali kwani wanesahau kilicho wapata 1994,nafikiri mahali alipo baba yake analia kwa kumuona mtoto wake akimsaliti kwa kushirikiana na waliomuua,kizito si lolote si chochote ni mpuuzi fulani aliye lewa umaarufu na kujichanganya katika mambo asiyo yatambua.

KWANZA NAFURAHI KUKUTANA NA WEWE MUKAMASIMBA HUMU.....SIKU CHACHE ZILIZOPITA NILITAKA KUFUTA ACCOUNT HII KWA KUWA NILIKOSA watu wenye akili wa kuzungumza nao mambo ya akili waliojaa humu ni hao wakina Jmali na wengine wengi wa aina hiyo.....Nimewahi kuwa mtu wa karibu na ndugu yangu huyo Kizito ambaye wengi wanadai kumfahamu kwa sasa bila kujua hasa ni nani alipelekea yeye kujulikana kama anavojulikana sasa....he was transformed from nobody to somebody hata wakina Jmali wanamfahamu by huyu anaye plot kumuua....sawa ana talent ya muziki...lakin wapo wanamziki wazuri sana wangapi ambao leo hii wameishia kupiga (zeze)?mwanzoni kabla ya pepo mbaya usingemwambia kitu chochote kumponda HE PK maana alikuwa kama ndo baba yake...hadi akatunga wimbo "wa ntare we wampaye agaciro" sikukuu ya kuadhimisha miaka 25 ya RPF which is solely Kagame (Intare=Simba=Lion).... Kizito Mihigo Intare yampaye agaciro - YouTube .....kama unaweza kusikia sikiliza
 
kama unajua ni wanasiasa una akili kweli kudhani wangeweza ku-claim responsibility kwa matukio ya grenade?

siku zote anayefanya mapinduzi hafichi harakati zake, kuanzia RPF, alQaeda, alShabaab etc...huwa wanasema kwa nini wamelipua na lengo lao ni nini, target yao etc.
Challenge yangu inabaki pale pale, naomba mnipe mantiki ya RNC kulipua grenade mbili sokoni, who is their target, and what do they aim to achieve? it doesn't make any sense, the only explanation that does make sense is that this was staged by RPF ili kuipa RNC tag ya ugaidi ili isiruhusiwe kufanya siasa ndani ya Rwanda, na ili mtu yoyote e.g kizito atayefanya mawasiliano nao awe amefanya kosa kisheria by extension.
pili, mwanasiasa si lazima awe muongo, if that is the case hata kagame naye anafanya siasa, kwa nini huamini kuwa na yeye ni muongo?
 
KWANZA NAFURAHI KUKUTANA NA WEWE MUKAMASIMBA HUMU.....SIKU CHACHE ZILIZOPITA NILITAKA KUFUTA ACCOUNT HII KWA KUWA NILIKOSA watu wenye akili wa kuzungumza nao mambo ya akili waliojaa humu ni hao wakina Jmali na wengine wengi wa aina hiyo.....Nimewahi kuwa mtu wa karibu na ndugu yangu huyo Kizito ambaye wengi wanadai kumfahamu kwa sasa bila kujua hasa ni nani alipelekea yeye kujulikana kama anavojulikana sasa....he was transformed from nobody to somebody hata wakina Jmali wanamfahamu by huyu anaye plot kumuua....sawa ana talent ya muziki...lakin wapo wanamziki wazuri sana wangapi ambao leo hii wameishia kupiga (zeze)?mwanzoni kabla ya pepo mbaya usingemwambia kitu chochote kumponda HE PK maana alikuwa kama ndo baba yake...hadi akatunga wimbo "wa ntare we wampaye agaciro" sikukuu ya kuadhimisha miaka 25 ya RPF which is solely Kagame (Intare=Simba=Lion).... Kizito Mihigo Intare yampaye agaciro - YouTube .....kama unaweza kusikia sikiliza

1. hujatoa maelezo yoyote zaidi ya yale ambayo kila mtu anaweza kuyapata toka google, yatakayothibitisha kuwa unamjua kizito kwa karibu.

2. by the time anapata connection ya kwenda belgium kupitia serikali ya Rwanda. Nyimbo za kizito tayari zilikuwa maarufu makanisa yote ya kikatoliki Rwanda. so it's not true kuwa alikuwa nobody. Halafu hebu nipe kigezo anachotumia kagame kuwatoa wanamuziki kama kizito, there are many talented artists in Rwanda as you have said, what is the criteria? the only reason why kagame supported this guy is because he was a "genocide against tutsi" orphan, a perfect tool for propaganda.
 
I was there 2 weeks ago! pili, i don't think porini kuna intaneti, tatu sina njaa, nne what law are you talking about since i am tanzanian? ooh wait i remember now, anyone against you is a Rwandan hutu.

Rwandan Hutu? big problem right there na utaishia pabaya sana wewe,in your corrupted and genocidal mind tutsi,hutu,watusi wa nje,tutsi original,minority,majority etc labels is what you see/want and not Rwanda,FYI Rwanda has moved on from upuuzi huo,no state sanctioned discrimination like your past genocidal government etc wasumbufu,criminals,mafisadi,genocidals etc lazima washughulikiwe.Rwanda is one of the least corrupt countries kutokana na strong leadership of kagame,same message to you na wenzako kina Ingabire respect the law or suffer and nobody above the law...most important genocide denial is a crime watakufunga
 
1. State sanctioned discrimination started way back in the days of the tutsi-kingdom, it was your masters the Belgium that started the ID system to deprive the majority hutu of their rights. what do you have to say now, any comment on this? je hii ilikuwa sawa wakati ule wa mfalme? What habyarimana did was to continue the ID system but this time fairly by allocating resources according to idadi ya wahutu na watutsi na sio kwa ajili ya kulipa kundi moja upendeleo. Mfano: wakati wa mfalme kitambulisho kiliamua uende shule gani, upate nafasi gani etc, wakati wa habyarimana huduma zote zilikuwa na ubora sawa isipokuwa vitambulisho vilitumika kupata idadi/uwiano. Hii concept inaitwa "affirmative action", sawa sawa na mfumo wa SA unaoitwa BEE, hata hapa TZ tulifanya hivi hivi tukaita utaifishaji/ujamaa ili kila mtu apate, mfano: shule zikataifishwa kila mtoto apate elimu sawa etc.

2. Of course Rwanda is one of the least corrupt country in the world, right alongside North korea, Mynamar and other dictatorships. This is because corruption is restricted to kagame, RPF and their tutsi-elite families. hebu ona mifano hapo chini.

  • "Within days of seizing power in 1994, the victorious Rwandan Patriotic Front (RPF) was taking charge of everything from the supply of plastic chairs and beer to bars, the harvest of coffee, to the financing of government. It lent $9m from war reserves to resuscitate the state. Even suits worn by the first ministers to take office were purchased with RPF funds, says James Musoni, the local government minister who used to run the movement's business affairs."source: Rwandan Patriotic Front: Party builds a formidable business group - FT.com

vile vile usisahau kuwa waandishi wanaoandika habari za kufichua corruption ya RPF na kagame wanaishia kuuwawa unadhani kuna mtu atakayesema ukweli juu ya corruption in Rwanda? kabla hujajitetea kwa international rankings nikufahamishe kuwa hizi huwa zinachukua matokeo kwa kuingia mtaani na kuuliza common people whether there is corruption or not, hivyo hakuna raia anayejipenda atakayesema yes there is corruption..that's how Rwanda comes on top every year.
On the ground RPF is runs the biggest business empire in the country, walivyoingia madarakani kwa mtutu walijifanya kubinafsisha mali za serikali kama TZ ilivyofanya, except mali zote, viwanda vyote vikubwa vikaishia kwenye makampuni ya RPF na viongozi wake. Leo hii private sector nzima inategemea RPF owned companies.
Na ndani ya RPF ni mwenyekiti tu kagame ndio anayejua masuala ya akaunti kama vile chama fulani hivi bongo....

2012_Rwanda_GustaveTI.jpg

In discussions with independent witnesses and with the police, Human Rights Watch learned that a man in civilian clothes, who introduced himself as an employee of the national utilities company but was later identified as a police officer, visited the Transparency International Rwanda office in Rubavu three times before the murder of Makonene, including two days before he was killed.
source: Rwanda: Investigate Anti-Corruption Campaigner’s Murder | Human Rights Watch

"At least two Ugandan and one Kenya-based news publication that routinely portray Kigali in a positive light are directly funded by the Rwandan ruling party, local journalists with knowledge of the publications told me. They asked not to be identified for fear of reprisal."
source:https://cpj.org/blog/2014/03/twitter-war-shines-light-on-how-rwanda-intimidates.php#more

rwandajournalists.afp.jpg

Among the 232 journalists imprisoned around the world are Rwandan editors Agnès Uwimana and Saidati Mukakibibi, who are serving years-long terms on charges they defamed the president, Paul Kagame, and incited violence. Their crime? The women had published a series of stories in 2010 on several sensitive issues the Kagame government doesn't want scrutinized.
source: https://cpj.org/blog/2012/12/jailed-rwandan-editors-turn-to-african-commission.php#more

source: https://cpj.org/blog/2011/12/the-silent-funeral-of-an-exiled-rwandan-journalist.php#more
 
maendeleo ni pamoja na wananchi kuwa huru kuikosoa serikali nasikia huko hutakiwi kumsema vibaya rais
Niku shangae wewe nafikiri hata hizo nchi zilizoendelea kidemokrasi zina wakamata wahalifu sasa sioni sababubu ya wahalifu kua huru!
 
siku zote anayefanya mapinduzi hafichi harakati zake, kuanzia RPF, alQaeda, alShabaab etc...huwa wanasema kwa nini wamelipua na lengo lao ni nini, target yao etc.
Challenge yangu inabaki pale pale, naomba mnipe mantiki ya RNC kulipua grenade mbili sokoni, who is their target, and what do they aim to achieve? it doesn't make any sense, the only explanation that does make sense is that this was staged by RPF ili kuipa RNC tag ya ugaidi ili isiruhusiwe kufanya siasa ndani ya Rwanda, na ili mtu yoyote e.g kizito atayefanya mawasiliano nao awe amefanya kosa kisheria by extension.
pili, mwanasiasa si lazima awe muongo, if that is the case hata kagame naye anafanya siasa, kwa nini huamini kuwa na yeye ni muongo?
jMali, kweli wewe bado huelewi maana ya terrorism,unahabari yakwamba nchi ikiwa na amani hata wananchi wanaridhika na utawala wa nchi husika na kuiamini serikali iliyo madarakani,lakini kukiwa hakuna amani watu wengine watakua na uwezo wakushawishi wananchi na hata mataifa ya nje kwamba wao ndio wenyeuwezo wakuleta amani, kingine nikutaka patokee purukushani kama hili sakata la kizito sasa wengi watakamatwa na watu kama jmali watapiga makelele kwamba watu wanaonewa,wananyanyaswa n.k na terrorism ni ishara ya uoga na kutokua na nguvu,unategemea alquaida angeweza kuipindua serikali ya amerika? la hasha alicho kuaakitaka ni kujulikana kwamba yupo na kua ni tishio,na kutaka kusikilizwa,sasa hao RNC & FDLR nikutaka attention kwa kurusha vibomu.
 
Last edited by a moderator:
1. In a democratic country mtu anafanikiwa kwa jitihada zake binafsi na si kwa hisani ya rais. Just listen to yourself, eti "umaarufu wake aliupewa na pk,isingekua pk....." hivi hakuna mtu yoyote Rwanda aliyefanikiwa on his own without being "helped" by kagame? Hii ndio syndrome kubwa ya watu mnaokuwa dictated, you think the dictator is God. Wewe hata mkeo akipata mimba utasema "isingewezekana bila kagame" hahaha.

2. Kinachowatisha ni kujua kuwa watutsi wa dizaini zote, wale wa nje na wa ndani hawamtaki kagame. Haiwezekani hata siku moja nishirikiane na watu walioua wazazi wangu kama sio kuwa hao ninaoshindana nao ni mashetani zaidi! lakini hata hivyo si FDLR wala RNC walioua wazazi wa kizito. FDLR imeanzishwa miaka ya 2000, RNC ni juzi juzi tu hapa. You are not fooling anybody with that propaganda of linking FDLR to "genocide", unless of course you can provide specific names of genocidaires within FDLR, which i know you can't.
Bwana jmali,hata ufanyeje history has been written,you can't change it,FDLR ni Genociders na hawaosheki,wanadamu mkononi mwao,it is matter of time watapiga magoti mbele ya jemedari mkuu wa majeshi ya RDF.
 
jMali, kweli wewe bado huelewi maana ya terrorism,unahabari yakwamba nchi ikiwa na amani hata wananchi wanaridhika na utawala wa nchi husika na kuiamini serikali iliyo madarakani,lakini kukiwa hakuna amani watu wengine watakua na uwezo wakushawishi wananchi na hata mataifa ya nje kwamba wao ndio wenyeuwezo wakuleta amani, kingine nikutaka patokee purukushani kama hili sakata la kizito sasa wengi watakamatwa na watu kama jmali watapiga makelele kwamba watu wanaonewa,wananyanyaswa n.k na terrorism ni ishara ya uoga na kutokua na nguvu,unategemea alquaida angeweza kuipindua serikali ya amerika? la hasha alicho kuaakitaka ni kujulikana kwamba yupo na kua ni tishio,na kutaka kusikilizwa,sasa hao RNC & FDLR nikutaka attention kwa kurusha vibomu.

Big difference, Al qaeda hates america and its citizens, RNC na FDLR love Rwanda and want to go back peaceful. Al qaeda can bomb american citizens mitaani bila kujali, lakini RNC na FDLR hawawezi kufanya hivyo kwa sababu they need to convince the same citizens to vote for them, so uhusika wao katika haya matukio ni impossible. Kama RNC/FDLR wangeamua kuja kivita mabomu yangepigwa ikulu ya kagame au jeshini sio mtaani.

"In recent weeks, Rwanda has been shaken by a series of mysterious grenade blasts and the equally mysterious defection of a former army commander who fled to South Africa. The government was quick to blame the defector for the grenade blasts. But the reporting by Mr. Gasana suggests another possible explanation.

Mr. Gasana was at the scene of the first grenade blast within minutes of the explosion. An eyewitness told him that a man on a motorcycle had flung a grenade and raced on. The witness also noticed a police car parked nearby. Instead of following the motorcycle, the police car drove off in a different direction, the witness told Mr. Gasana.

Although he cannot prove it, he believes there is a possibility that the grenade attacks were orchestrated by state intelligence agencies to justify a crackdown on electoral politics. It's an uncomfortable question, but without the independent media in Rwanda there would be nobody to raise such questions."

source:The politics of genocide in Rwanda - The Globe and Mail
 
Bwana jmali,hata ufanyeje history has been written,you can't change it,FDLR ni Genociders na hawaosheki,wanadamu mkononi mwao,it is matter of time watapiga magoti mbele ya jemedari mkuu wa majeshi ya RDF.

FDLR imeundwa miaka karibu 10 after "genocide", narudia tena lete majina ya maofisa ndani ya FDLR ambao ni genocide suspects halafu tuhesabu kama idadi yao ni kubwa kiasi cha kukategorise chama kizima kuwa ni genocidaires. Ukishindwa hili naomba tukubaliane kutokukubaliana kiustaarabu, uendelee na msimamo wako usiokuwa na basis.
 
Dr. Ignace Murwanashyaka (born 14 May 1963) is the current leader of the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda, a Rwandan Hutu rebel group operating in the Democratic Republic of the Congo. The FDLR are responsible for large scale human rights violations and crimes against humanity, including rape on a massive scale.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]
Murwanashyaka was born in Butare and has studied in West Germany. In November 2005 he was blacklisted by the United Nations for violating an arms embargo aimed at promoting peace in the Democratic Republic of Congo, and subjected to a travel bans and assets freeze.[SUP][3][/SUP]
He was arrested on 7 April 2006 in Mannheim, Germany for immigration violations and released shortly after.[SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP] On 26 May 2006 preliminary investigation were opened against him for "Initial suspicion of involvement in crimes against humanity in the Democratic Republic of Congo", but the prosecution has since been abandoned.[SUP][6][/SUP] Rwanda indicated it would seek his extradition for alleged crimes committed during the Rwandan Genocide[SUP][7][/SUP] and has issued an arrest warrant.[SUP][8][/SUP]
He was arrested again on 17 November 2009 by the German authorities. The trial for him and his alleged aide Straton Musoni began on May 4, 2011 before the Oberlandesgericht in Stuttgart. They are accused of several counts of war crimes and crimes against humanity according to the German Völkerstrafgesetzbuch. Their trial is the first to be held in Germany for crimes against this law.[SUP][9][/SUP][SUP][[/SUP]
 
FDLR imeundwa miaka karibu 10 after "genocide", narudia tena lete majina ya maofisa ndani ya FDLR ambao ni genocide suspects halafu tuhesabu kama idadi yao ni kubwa kiasi cha kukategorise chama kizima kuwa ni genocidaires. Ukishindwa hili naomba tukubaliane kutokukubaliana kiustaarabu, uendelee na msimamo wako usiokuwa na basis.
Sylvestre Mudacumura(overall commander of FDLR)
He has been sanctioned by the U.S. Office of Foreign Assets Control under Executive Order 13413 and the United Nations Security Council's Consolidated Travel Ban and Assets Freeze List.[SUP][9][/SUP]
The prosecutor of the International Criminal Court sought an arrest warrant against him, alleging responsibility for crimes against humanity and war crimes committed in 2009-10 in the Kivus. [SUP][10][/SUP] The warrant was issued on 13 July 2012.[SUP][11][/SUP]
 
Back
Top Bottom