Ninajibu hayo ya yenye RED:
kuhusu Gen kabiligi yuko Arusha as a
FREE MAN, ACQUITTED OF ALL CHARGES! ALL CHARGES! can you imagine? you can refer to this favourite source of yours here:
The New Times Rwanda: :: Govt disappointed by Gen Kabiligi acquittal.
Who is daft? mimi ninayefuata maamuzi ya MAHAKAMA YA KIMATAIFA ICTR? au wewe unayepinga its ruling bila kuwa na basis yoyote whats so ever? if i'm daft you must be certifiable! mkiambiwa mna chuki mnakuwa wakali, mtu ameshitakiwa, amepelekwa mahakamani, mahakama imemuachia..badala ya kukata rufaa unamuandama tu bila msingi! It seems mlipendelea kumteka, kumfungia mnakojua for weeks, halafu mumlete kwenye media ili "a-confess"?:smile-big:
kama mahakama ya KIMATAIFA imeona hakuna mhutu yoyote guilty of planning the genocide, who are you to say otherwise? mmepeleka ushahidi wenu wa uongo na chuki na mahakama imeona hivyo na bado hata baada ya hao wahutu kushinda MAHAKAMANI tena ya KIMATAIFA sio local, wawe guilty based on what? ndio maana hawataki kurudi nyumbani kwa sababu hata iweje watu kama wewe mtawaua tu.
so where were you when this "genocide was meticulously planned"? (btw, i swear i've seen this phrase somewhere, nice copypasting dude
🙂). If kagame who was in the thick of it, failed to convince an international court, kiasi cha court kumuachia huru kabisa Kabiligi? why should anybody believe YOU, an anonymous tutsi-extremist? Unaleta mpaka kesi ya OJ? this is pathetic! unajua if it wasn't for the benefit ya watanzania wenzangu i wouldn't be conversing with you at all, but it is important for me to do it, to show watanzania wenzangu the dangers you guys (tutsi-extremists) pose in relation to EAC. Everytime you guys reply you show us Tanzanians how your extremists' mind works.
unataka kuleta doubt kwenye census ya mwaka 91? Kwa taarifa yako it wasn't run by Habyarimana's gov, the census was run by
UNDP, UNFAP, CEA vitengo vya Umoja wa mataifa UN vikisaidiwa kifedha na mengineyo na serikali za US na Canada. Na kwa wakati ule 1991, why didn't the RPA raise questions about matokeo ya sensa? anyway tumeshazoea by now kama mliweza ku-discredit repoti ya UN wakati nchi yenu ilikuwa mwenyekiti wa security council ya UN hiyo hiyo....:der:.
kuhusu "state sanctioned discrimination" na blah blah zingine, let me break it down for you again. Vitambulisho vya ukabila vililetwa na mabwana zenu wabelgiji enzi za ufalme. vilitumika kuwapendelea nyinyi watutsi (
less than 20% of the entire population) na kuwabagua wahutu na ba-twa, different schools, different services, different everything. Did kagame's royal family protest then? did tutsi's say anything about it?
Then wahutu revolted in 59, took over, and
used the same IDs for affirmative action based on census statistics NOW ndio unaona eti discrimination? wahutu walichofanya ni kufanya balancing tu ya access to services, kama shule zilikuwa sawa kwa kila mtu, level ya huduma zilikuwa sawa n.k na sio kama nyinyi mlivyokuwa wafalme ambapo wahutu walitengenezewa shule zao inferior, kila kitu chao inferior...
if you call ICTR a joke and its an international court, what do you call GACACA COURTS? mahakama ambayo mshitakiwa haruhusiwi kuwa na wakili! where hutu judges were sacked for allegedly being involved in the genocide too!, where all victims are tutsis and all defendants are hutu! mahakama gani hii?
Another problem was that the Gacaca courts offer no statutory rights to legal defense. But the Rwandan government argued that in the case of the Gacaca courts it was not necessary to grant the right to fair trial, or provide a lawyer for the defendant. Most of the crimes were committed in public, and so any false testimony would have been unmasked immediately, the government claimed.
"The majority of people were proud to kill, and they did it in broad daylight. We also had eye witnesses.
You do not need to be a law student to know whether the testimony given by witnesses is true," the justice minister argued.
Human Rights Watch also criticized the Rwandan government for
exempting former soldiers of the Rwandan Patriotic Front, (RPF) from prosecution. Many victims would therefore never see justice. The RPF is the current ruling party in Rwanda.
source:
Rwanda ends Gacaca genocide tribunals | Africa | DW.DE | 19.06.2012
you call the UN a wasteful debating club, while only months ago Rwanda held the chair for the security council of the same UN....even managed to insert "genocide against tutsi" in an unrelated resolution...mhhh! :der:
Conclusion:
Mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize swali lifuatalo:
There were two sides fighting in 94, the hutu led gov, and the tutsi army (RPA led by kagame). Kama mahakama ya ICTR imesema these hutu gov officials did not plan the "genocide against tutsi",
THEN WHO DID?
FACT : interahamwe was funded by wealthy tutsis with connection to ugandan-tutsis exiles including RPA and kagame, and its
PRESIDENT at the time of genocide, who led and coordinated the killings of tutsi was a tutsi himself,
ROBERT KAJUGA, who pretended to be a hutu! Now, tell that to your cousin's bird see what song it would make out of it!
🙂