Mwanamume mchepukaji good for a woman

Utafiti usio rasmi, unaonyesha kua Mwanaume akiwa mchepukaji hua kila anapochepuka anakua ana chaji zaidi.

Pindi anaporudi ndani ya boma anakua na nguvu mpya ya kutoa dozi safi na kuacha heshima tofauti na yule ambaye hachepuki anategemea kula chakula cha ndani maisha yake yote. Mood humuisha na anashuka chaji.

Naombeni maoni yenu wakuu.
Mkuu ni kweli unachosema ,mfano ukiwa unafanya mapenzi mara kwa mara ndio unatengeneza nguvu za kiume ,na unaweza jikuta lisaa lizima hujashuka kitonga

ila ukiwa unafanya mapenzi kwa kuvizia yaan utajikuta dakika wazungu hao
 
Ukiwa unafanya mapenzi Mara Kwa mar ,unakuwa na mazoez ya Kutosha Ila siku ukiija punguza Cha moto utakipata Mahaba utapata Shida ana maaana kila Mara utakuwa unataka
 
Mwambieni uyo devil, simwogopi shetani, Sir God yuko nami anipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee....#Nchi ya Vi-Wonder
 
Utafiti usio rasmi, unaonyesha kua Mwanaume akiwa mchepukaji hua kila anapochepuka anakua ana chaji zaidi.

Pindi anaporudi ndani ya boma anakua na nguvu mpya ya kutoa dozi safi na kuacha heshima tofauti na yule ambaye hachepuki anategemea kula chakula cha ndani maisha yake yote. Mood humuisha na anashuka chaji.

Naombeni maoni yenu wakuu.
Mkuu naunga mkono hoja
 
Utafiti wako sio poa kwa jamiiii, nani wakupotosha umma tu nakusambaratisha familia
 
Ni kweli, kuna siku nilirudi toka safari, usiku wife akataka mambo, basi nikajitahidi kuamsha kitu kikagoma, nakaenda kuamshia bafuni lakini wapi, nikamwambia wife labda nimechoka na usingizi umenibana. Basi kesho nakatafuta ka mchepuko nukafunga goli tatu za mchana, usiku niliporudi home, nilicheza game na wife mpaka akasema inatosha.
 
Back
Top Bottom