Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,417
Wapelekewe moto au sioBaddest 47 ft Odong & Young Lunya
Mkuu hata umkojoleshe kama akiamua kuchepuka anachepuka tu, mtu sehemu anavuka mtoto wa kilo nne unapambana napo tu.Mkojoleshe tu, ukifanikiwa hata siku moja hawezi chepuka hata kidogo maana nyege anakuwa hana kabisa!
Haya yote nimeyafanya kwa mchumba wanguMpende sana
Kuwa muwazi kwake
Mfanye rafiki yako wa ukweli
Mpe muda wako
Na usimsaliti
Hao walio oa bikra ndo wanachapiwa hatari. Wanawake hawajawai kueleweka kaka.Acha ufala, go back to the Bujibuji formula. Hutojuta.
Unalalamika nini kugongewa mwanamke ambaye hujambikiri?
Kwa mlupo kama huo usiwekeze moyo wako, wekeza mavuzi tu, hata ukiyanyoa yataota na hutopata hasara yoyote kama alivyopata Samson kwa Delila
Sangoma tena[emoji23][emoji23][emoji23]Mbinu anazo yeye mwanamke sio mwanaume,akiamua asigongwe hatagongwa na akiamua kugongwa atagongwa sana tu na kamwe hutajua,zaidi ya hapo ukapewe mbinu na Sangoma