Mwanamme ukitongozwa na mwanamke unamkataa vipi?

Ukweli ni kwamba, wanaume wote ambao tuko na wanawake, kwa namna moja ama nyingine, hao wanawake ndio walitutaka sisi! Mwanamke anaweza kukufanya ukajiona kama wewe ndio umemtaka na tena na kukusumbua akakusumbua kabisa, kumbe hiyo yote ni plan yake ya kukupata wewe!
 
kwamba akakutega au?
 
Back
Top Bottom