Mwanamme ukitongozwa na mwanamke unamkataa vipi?

Mwanamme ukitongozwa na mwanamke unamkataa vipi?

Mwingine anakusaidia mpaka kazi zako halafu baadaye anakuambia mi mwanamme wa kuishi naye nataka awe kama wewe
mara nyingi kauli hizi zinakuwaga ni mtego usijione umepata sana sometime wanawake wamezoea kuona wanaume wakiwasumbua sumbua anapokutana na mwanaume kama wewe anahisi hali ya utofauti, ni vizuri kuwa wa kipekee ni moja ya credit kubwa sana lakini mara nyingi aina ya wanaume kama nyinyi mnakuja kufeli sana baada ya demu kukufungukia kama hivyo unaanza kuweweseka na ile power ya ustahimilivu uliyokuwa nayo inapotea kabisa, kwa kifupi mnakuwa aina ya wanaume ambao mnatamani mademu lakini hamjui wapi pakuanzia, mara baada ya demu kufunguka mnashindwa kujizuia mnaonesha tabia zenu harisi kwamba nyinyi ni madomo zege tu, tena mbaya zaidi demu anakuja kukuona mtu wa ajabu sana sababu ulikua unampenda na ukajifanya umekausha hiyo inaonesha kwamba hauna hali ya kujiamini kama mwanaume
 
Habarin wana jf, Mimi ni kijana ambaye sijishughurishi sana na mambo ya wanawake Niko busy na kazi zangu ila changamoto ninayo kutana nayo kuna wanawake wananifwatilia na kuna wengine wananieleza live kwamba wananitaka kimahusiano napata shida namna ya kuwajibu pasipo kuwaumiza kwa mwenye uzoefu kidogo naomba msahada.
Waambie asante but you are not interested. Waambie pia mnaweza kuwa marafiki kama hawatojali.
 
"DADA SIKUTAKI MIMI NIMEOKOKA USINIFUNDISHE UZINZI"

"NIPE MDA" akikupa mda ndio mazima

"SASA WEWE NA UMBO LAKO KAMA FUNZA NIKUPELEKE WAP? EBU ACHA KUNISUMBUA BAS"

kama hawata kuacha kwa majibu haya jua ww ndio mwenye tatizo
 
Waambie asante but you are not interested. Waambie pia mnaweza kuwa marafiki kama hawatojali.
Tobaaaaaaah!!!! Et marafiki hapo ndio umempa nafas kabsaa tena na hiv mvua ipo siku atakuita ukamfungie bulb kitakacho tokea huku utajua mwenyewe.

Jokes tu
 
Back
Top Bottom