Mwanamme mmoja apata kichapo kizuri

Hi wanafanya guess work. Inaonekana hawana Info. Wanataka mtu aongee tu. Na hata hivyo hata kama anaweza kuongea, information sensitive huwezi kuihitaji namna hii. Lazima mtuhumiwa apewa secrecy ya kutoa siri. Inawezekana kabisa katika hao wanajeshi mmoja ni informer.

Very uncivilized. Very unprofessional.
 
wanajeshi ni kama animals. Huwezi ukamfanyia hivyo binadamu mwenzako. Adhabu zao ni za kipuuzi sana. Wanaishi kama maadui wa wananchi wakati walipaswa kuwa marafiki wa wananchi.
Ukiumiza mmoja kulinda mamilioni ni ushujaaa na judgemnt nzuri
 
Safi sana kazi ya mjinga ni kunyarika tu! Ila adhabu yenyew ya kitoto iyo Yaan viboko tu!
 
Back
Top Bottom