Ulishawai kuangalia clip wa westgate,kama ndio utawaunga mkono hawa wanajeshi,hao naisi watakuwa ni ni jamii ya alishababuwanajeshi ni kama animals. Huwezi ukamfanyia hivyo binadamu mwenzako. Adhabu zao ni za kipuuzi sana. Wanaishi kama maadui wa wananchi wakati walipaswa kuwa marafiki wa wananchi.