asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
wapi pameandikwa kwamba ukiwa na mchumba lazima akujali? Amekwambia yeye anamjali kwa kitu gani? Acheni ujinga watotot wa kike kupenda vya bure!
Angekuwa mbele yangu ningemchapa kofi kwa tabia ya kupenda bwerere, -------
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.
Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).

ukiumwa cancer ya kizazi na k ndo utajuaMe usiponipa nauli siji hotelin / gest, usiponipa vocha sikupigii wala sijibu sms, usipo nipa pesa za matumizi nakufanyia makusudi natafuta nguo mbaya siku hiyo sipaki perfume or lotion napaka mafuta ya kasuku kama nywele ndio timutimu chupi natafuta mbaya tena naitoboa papuchi siioshi siku tatu. nakuja tuone kama utaona raha
Nyie wanaume mnapenda mteremko sana, me mwanaume wa hivyo sikutaki mahaba niue akha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wanawake kazi tunayo akikupa bila kukucharge mnasema ni cheap akikucharg ooh! anauza kipi bora kwenu?
Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.Me usiponipa nauli siji hotelin / gest, usiponipa vocha sikupigii wala sijibu sms, usipo nipa pesa za matumizi nakufanyia makusudi natafuta nguo mbaya siku hiyo sipaki perfume or lotion napaka mafuta ya kasuku kama nywele ndio timutimu chupi natafuta mbaya tena naitoboa papuchi siioshi siku tatu. nakuja tuone kama utaona raha
Nyie wanaume mnapenda mteremko sana, me mwanaume wa hivyo sikutaki mahaba niue akha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ukiumwa cancer ya kizazi na k ndo utajua
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.
Ila we dada jiulize tu:
Hasara yake hasara yako?
Kwa nini usiamue tu kumnyima?
Wewe unafikiriaje au umempa ushauri gani kabla ya kulileta JF?
Huyo anaachiwa UKIMWI mambo kwisha, anatagemea nini zaidi kwa kugegedwa nje ya ndoa?
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.
Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).
FaizaFoxy usiseme hivyo kaa ujue karne hii wanaume hawajali bikra lazima akuonje ndo mengine yafwate. Vinginevyo mnyeezi mungu atusaidie
ahahaaa nimehama kikosi cha mizingaAhahaha na wewe siku hizi umekuwa mu-wise!!! sijui n nini umepuliza mamii...