Sista
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,208
- 1,038
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?