omg.............
Wengine watasema hiyo ni 'emotional' interjection that is not manly.
Watasema ili ku-sound manly basi tumia 'damn' badala yake.
nimefuta ila wewe ulikuwa so fast
Hahahaa....ina maana ulistukia haraka hivyo?
umenchoka sio? sasa mi kulia nikisherehekea mshindo ndo kuwa emotional? unalo hilo ukiniacha tu nafakamia thiodan.Heri ya Juma Kuu!
Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.
Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?
Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.
Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?
Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.
Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'
Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?
Hebu wanamme na nyie nisaidieni.
umenchoka sio? sasa mi kulia nikisherehekea mshindo ndo kuwa emotional? unalo hilo ukiniacha tu nafakamia thiodan.
unakoseaNi vibaya kwa mwanamme kuwa emotional kumzidi bi mkubwa wake?
Na kuwa emotional ni kujitakia ama ni ndivyo mtu alivyo tu?
Kuwa kwenye ndoa si ni kukubali 'the good and the bad' za huyo mtu au nakosea?
li nyani ngabu ndivyo lilivyoMkeo aliponichumu mbona ulilia....niweke video yako ukilia hapa?
Ni vibaya kwa mwanamme kuwa emotional kumzidi bi mkubwa wake?
Na kuwa emotional ni kujitakia ama ni ndivyo mtu alivyo tu?
Kuwa kwenye ndoa si ni kukubali 'the good and the bad' za huyo mtu au nakosea?
unakosea
nahofia maamuzi yao.it happen but ni ngumu kwakweli maana sometimes inabidi umnyamazishe yy wakati ww ndo uliyeanza kulia.
mi naona kama.vile huwa hawako firm kwenye decision making pia.
::
Kongosho
Mwanaume emotional ni zao la malezi,,too much anxiety,,low self esteem na stress.
Watu hawa wanapokuwa na tatizo hili wanahitaji kuwa na psychrists mapema.
::
Mwanamke unapopata zawadi ya kuwa na mwanaume wa aina hii,na ukawa strong..fanya yafuatayo kumsaidia
1.Kuwa postive ktk kauli zako.
2.Jitahidi kumsifia maana neno dogo toka kwa mke wana exaggerate ili kulipatia maana nyingi.Ila sifa ni dawa kwao.
3.Mwambie asiweke dunia ktk moyo wake bali Dunia imuweke ktk moyo wake.
=