Mwanamme 'emotional'

Mwanamme 'emotional'

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,226
Heri ya Juma Kuu!

Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.

Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?

Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.

Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?

Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.

Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'

Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?

Hebu wanamme na nyie nisaidieni.
 
Ni vibaya kwa mwanamme kuwa emotional kumzidi bi mkubwa wake?

Na kuwa emotional ni kujitakia ama ni ndivyo mtu alivyo tu?

Kuwa kwenye ndoa si ni kukubali 'the good and the bad' za huyo mtu au nakosea?
 
Pole, kidume chako kiko hivo. Shida ilikuwa kwako kwani ulilazimishiwa, si ungekipiga buti.
 
it happen but ni ngumu kwakweli maana sometimes inabidi umnyamazishe yy wakati ww ndo uliyeanza kulia.

mi naona kama.vile huwa hawako firm kwenye decision making pia.
 
Hahahaa....ina maana ulistukia haraka hivyo?

kama unakumbuka hiyo 'OMG'
ilikuwa maarufu sana with a certain tv series which was also no 1 with women
so najua maana yake
actually i said it as a joke first,
 
Heri ya Juma Kuu!

Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.

Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?

Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.

Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?

Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.

Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'

Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?

Hebu wanamme na nyie nisaidieni.
umenchoka sio? sasa mi kulia nikisherehekea mshindo ndo kuwa emotional? unalo hilo ukiniacha tu nafakamia thiodan.
 
Ni vibaya kwa mwanamme kuwa emotional kumzidi bi mkubwa wake?

Na kuwa emotional ni kujitakia ama ni ndivyo mtu alivyo tu?

Kuwa kwenye ndoa si ni kukubali 'the good and the bad' za huyo mtu au nakosea?
unakosea
 
sijasema ni dhambi, ila jinsi ya kumhandle inakuwa ngumu sana.

Kuna mtu nimekutana naye leo, akanisimulia habari moja na suluhisho alilokuwa amechagua nikashangaa kwa kweli. Niliona liko 'emotional' badala ya 'realistic'

Ni vibaya kwa mwanamme kuwa emotional kumzidi bi mkubwa wake?

Na kuwa emotional ni kujitakia ama ni ndivyo mtu alivyo tu?

Kuwa kwenye ndoa si ni kukubali 'the good and the bad' za huyo mtu au nakosea?
 
kwa wale wanaume wanaopenda kununa ovyo na wenye gubu akiwa tooooo emotional safi sana:A S 39::smile-big:[MENTION]Kongosho[/MENTION] labda kuna sehemu wanapatikana unielekeze niende,nikimpata wa hivyo:shut-mouth:
 
ha ha ha, nshainunua siodani:

hebu nisaidie basi jinsi ya kuhandle, ujue mie kulia lia sijazoea kwa kweli.

umenchoka sio? sasa mi kulia nikisherehekea mshindo ndo kuwa emotional? unalo hilo ukiniacha tu nafakamia thiodan.
 
::
Kongosho
Mwanaume emotional ni zao la malezi,,too much anxiety,,low self esteem na stress.
Watu hawa wanapokuwa na tatizo hili wanahitaji kuwa na psychrists mapema.
::
Mwanamke unapopata zawadi ya kuwa na mwanaume wa aina hii,na ukawa strong..fanya yafuatayo kumsaidia
1.Kuwa postive ktk kauli zako.
2.Jitahidi kumsifia maana neno dogo toka kwa mke wana exaggerate ili kulipatia maana nyingi.Ila sifa ni dawa kwao.
3.Mwambie asiweke dunia ktk moyo wake bali Dunia imuweke ktk moyo wake.
=
 
Last edited by a moderator:
it happen but ni ngumu kwakweli maana sometimes inabidi umnyamazishe yy wakati ww ndo uliyeanza kulia.

mi naona kama.vile huwa hawako firm kwenye decision making pia.
nahofia maamuzi yao.
Anapatwa na tatizo, mwingine unaona la kawaida yeye anajirestisha in pisi.

Ila nataka kujua jinsi ya kukabiliana na mtu wa aina hiyo. Ukizingatia hata mpendane vipi kukwaruzana kuko pale pale na huwezi jua yeye akalichukuliaje.
 
::
Kongosho
Mwanaume emotional ni zao la malezi,,too much anxiety,,low self esteem na stress.
Watu hawa wanapokuwa na tatizo hili wanahitaji kuwa na psychrists mapema.
::
Mwanamke unapopata zawadi ya kuwa na mwanaume wa aina hii,na ukawa strong..fanya yafuatayo kumsaidia
1.Kuwa postive ktk kauli zako.
2.Jitahidi kumsifia maana neno dogo toka kwa mke wana exaggerate ili kulipatia maana nyingi.Ila sifa ni dawa kwao.
3.Mwambie asiweke dunia ktk moyo wake bali Dunia imuweke ktk moyo wake.
=

Kwa hiyo unachosema wewe ni kwamba emotionalism ni 'learned behavior' na siyo 'innate behavior'?
 
Back
Top Bottom