- Thread starter
- #121
duuu!!!!!itafika siku huyo manzi ndio atakuwa anatoa pesa za matumizi nyumbani kwa mshikaji, ila jamaa kauzu sana...
duuu!!!!!itafika siku huyo manzi ndio atakuwa anatoa pesa za matumizi nyumbani kwa mshikaji, ila jamaa kauzu sana...
Nimeshamjibu kuwa ni mimi huyohuyo ila nilibadili IDNikipata muda nita-compare between the two. Thanks
Ahsante Shunie kwa kunisaidia kumtoa tongotongo, hahahahKabla nahuja hajabadili id alikuwa anaitwa chikira mbona
😀😀Anatoka na mume wa mtu anategemea nini...tena yalipaswa yamkute kuliko hayo!
Mungu anisamehe tu kwa kweli..
asante dear, nilichanganyikiwa atiNilibadili jina kutoka CHIKIRA sasa najiita NAHUJA
And so do you!!asante dear, nilichanganyikiwa ati
morning kwako iwe nzuri
hapo sasa!!!Hayo mapenzi au ubabe?
zenk u muchAnd so do you!!
mmh! ngumu hiyoIla wawe wanachangia gharama coz wote wanaenjoi mambo, si ni haki na dem achangie gharama.
Amenzenk u much
Miss Natafuta nimechimbua kaburi, hahahhahha, Super women 2 ona jinsi Miss anavyopata matunzo, hahahahahahahhaahahpole sana shost
achana nae
ameshindwa kulipia tu chumba cha guest house atakufanya nini hyo ni boya tu
tupa kule
wenzio hata maji ya kunywa tu kumimina kwenye glass twamiminiwa.chezea kugegedwa wewe?
Ahahaa kuna mtu aliiba password bnaMiss Natafuta nimechimbua kaburi, hahahhahha, Super women 2 ona jinsi Miss anavyopata matunzo, hahahahahahahhaahah
Huyu dada alihama hapa Mwanza, alihamia wilaya ya Kahama mkoa wa ShinyangaBado wapo pamoja ???
Nisije kushauri zilipendwa it is more than 2 years now
😀😀😀😀😀😀 may be, perhaps, probably, hahahahahaahahahahaahahhahAhahaa kuna mtu aliiba password bna
Umenitwanga na red kabsaHuyu dada alihama hapa Mwanza, alihamia wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga
Pole jamani sijui hata nimewaza nini na mimi!!!!U
Umenitwanga na red kabsa