Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
True true inaonekana kama huyo mwanamke amemkamata vilivyoInabidi awe jasiri kwel kwel Mana anaonekana Hana power ktk huu uhusiano kwa sababu ya kupenda sanaaa
True true inaonekana kama huyo mwanamke amemkamata vilivyoInabidi awe jasiri kwel kwel Mana anaonekana Hana power ktk huu uhusiano kwa sababu ya kupenda sanaaa
Wakwangu akiingia instagram hakumbuki chochote, Leo mtoto Kidogo achome nyumba na pasi yeye yupo tu.mapenz mara nying sana huambatan na wivu na wivu huu ni kwasabab ya upendo ambao umeuweka kwa yule mpenz wako,...nina mwanamke ambaye sio siri nampenda sana tena sana na tatizo la mwanamke uyu sijajua na kila nikimuuliza ananipa majibu mepesi mepesi sana kana kwamba its normal situation kwake yeye but kwang mimi ni kitu ambacho kina niumiza sana..tatizo lake ni kwamba yupo tayali anunue bando ya intaneti ya wiki ili achat FB,WHATSAPP yan kila mara yupo mtandaoni anapost picha mbali mbali na sijui dhumuni lake la kupost picha ni nini?? yan adi imekuwa kero yan aipiti wiki anabadilisha profile picha kila nguo aliyo nayo akiivaa ni lazima ajiselfishe then atupie mtandaoni......mwanamke uyu nampenda sana ila mwenendo wake siuafiki kabisa.......ushauli wenu wakuu kwa mlimbwende wang🙄🙄🙄
duu..!! iyo kali sasa,pole sana mkuuWakwangu akiingia instagram hakumbuki chochote, Leo mtoto Kidogo achome nyumba na pasi yeye yupo tu.
si kiivyo sasaKama simu na bando vyote ni vyake mwache ajinafasi!
wanawake wengi ukiwashauli ndio kwanza kama umechocheaHuhuhu... Mwambie cyo uje kusemea jf
nina mpango siku moja nimtandike makofi adi akaseme kwa hao anao wapostia pichaAcha udhaifu wewe mtandike makofi ya haja lazima anyooke
Hivyo ndo inatakiwa ,mwanaume ukiongea lazima mwanamke ajue kama mwanaume ameongea.nina mpango siku moja nimtandike makofi adi akaseme kwa hao anao wapostia picha