Mwanamke wangu kazidi na mitandao ya kijamii

Mwanamke wangu kazidi na mitandao ya kijamii

Ndiomaana mimi nliweka sharti kabla ya ndoa moja tu!!!!!!!
Mke wangu mtarajiwa kama hoja ya simu ili tupate kuwasiliana nikiwa job au safarini
Ntakuwekea TTCL (Land Line)full stop!!!!
 
kwanza acha kumwita mwanamke hajafikia hicho cheo huyo ni mtoto ambaye anakaribia usichana..!!!
 
Mpaka hapo shida wapi kaka. Huo ni wivu tuu. Mvumilie with time ataacha kbs. Tena ataona kapoteza fedha za bando na muda wake. Wakati ukuta baba.
 
Fb anatumia jina gan nione kama kwel anapost mara kwa mara au ww tu unaongezea chumv.
 
Kama ameshawahi kupost mkiwa pamoja umeshakufa mzee wanajisahau sana.. Kuna demu nilimtongoza akaniambia hana mtu jamaa yake alifariki kitambo wakati namuona anampost jamaa na kucomment kimahaba (post ni latest)...
 
mapenz mara nying sana huambatan na wivu na wivu huu ni kwasabab ya upendo ambao umeuweka kwa yule mpenz wako,...nina mwanamke ambaye sio siri nampenda sana tena sana na tatizo la mwanamke uyu sijajua na kila nikimuuliza ananipa majibu mepesi mepesi sana kana kwamba its normal situation kwake yeye but kwang mimi ni kitu ambacho kina niumiza sana..tatizo lake ni kwamba yupo tayali anunue bando ya intaneti ya wiki ili achat FB,WHATSAPP yan kila mara yupo mtandaoni anapost picha mbali mbali na sijui dhumuni lake la kupost picha ni nini?? yan adi imekuwa kero yan aipiti wiki anabadilisha profile picha kila nguo aliyo nayo akiivaa ni lazima ajiselfishe then atupie mtandaoni......mwanamke uyu nampenda sana ila mwenendo wake siuafiki kabisa.......ushauli wenu wakuu kwa mlimbwende wang🙄🙄🙄
Hahahah pole Kaka. Unasadiana na wenzio apo
 
yan majibu yake ofcourse hayaridhish kwasabab ni mepes sana kwang mim,kila nikimuuliza anajibu kuwa dunia ipo kiganjani so anakuwa anabadilishana mawazo na ndugu na jamaa uko mitandaoni na issue ya kupost picha mtandaoni anadai kuwa anataka marafiki zake wamuone jinsi alivyo sasa kulinganisha na siku za nyuma
Vip kuusu mavazi take yako na maadili au ndo Mara nusu uchi Mara mkao frani yukoje upande uu Wa nguo?????
 
Pole sana mkuu, jaribu kukaa nae chini umuambie aache ulimbukeni wa kutumia smartphone, sio kila kitu ni cha kupost..HALAFU MWAMBIE KINGINE AACHE DHARAU, INASAIDIA KWENYE MAISHA...!
Inabidi awe jasiri kwel kwel Mana anaonekana Hana power ktk huu uhusiano kwa sababu ya kupenda sanaaa
 
Kama ni mke wako wa ndoa au tayari una mtoto naye,
jitazame wewe kwanza isikute kuna mambo una mboa ndiyo mana anaamua kuwa buys na mitandao,
Kwa mfano isikute mwanzo alikuwa anapenda kuchart nawe sna,
Then wewe ukajidai upo buys inaweza ikawa imepelekea alivyo sasa.

Ila kama ni demu wa kitaa mpompo tu piga chini kabla hujapigwa wewe!
 
Mahusiano Yana changamoto nyingi sana.. Ila jaribu kumpeleka sehem nzur ilotulia Ukamwambia Yale yanayokukera huenda akakuelewa na kubadilika
 
Hawa wanawake wasio kuwa na elimu ukweli wengi ndio wapo busy na mitandao, mitandao mingine wanajiunga hata hawajui madhumini yake, wanapojionesha kwenye mitandao ndio nao wanajiona wameelimika, unamkuta mwanamke kakaa na mpenzi wake badala wazungumzie kuboresha penzi, mwanamke yuko busy na fb, u tube, insta na zaidi ya hiyo. "Masikini akipata matako hulia mbwata"
 
Chukua hii thread yako, copy then mtumie whatsapp...au kama huwezi mtumie link ya hii mada!!

Hujui kwanini magufuli alisema anatamani mitandao ya kijamii ifungwe na malaika??? ungana nae mfunge mitandao ya kijamii!
hilo nalo neno tena neno haswa
 
Back
Top Bottom