Mwanamke wangu hajui kupika wali

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,567
Reaction score
4,185
Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE.

Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama.

Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu.

Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
 
Vipi kuhusu kukatika
 
Kwahiyo mboga haikutakiwa kua na chumvi?
 
Mfundishe
 
Wewe kula mzigo, siku ukitaka kumuacha umeshapata sababu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…