Mwanamke wangu anaolewa

Mwanamke wangu anaolewa

Aiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana.

Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana.

Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi yakwenda wote kwenye graduation ya Mdogo wangu Tanga huko.

Binti nyumbani wanamforce aolewe sana, mimi tu nikiwa nae tumepangua ndoa zake 2. Naona sasa imeshindikana kabisa kunisubria maana nimebakisha mwaka mmoja wa kusoma, nasoma Miaka minne kozi ya Afya na nlimuahidi ntamuoa na ndiyo ilikuwa Plan yangu.

Jana nilidhani ni utani, leo nimeenda Hospital Sinza palestina anapofanyia kazi kuconfirm.

Manzi anaolewa tarehe 12/ 11 wafanyakazi wapale wameniambi. Hiyo ni meseji alintumia jana.

Nimechoka Mpaka Ikabidi nicheke. Binti ana miaka 24 , mimi ni 23

Yaani mpaka jana asubuhi tumecheka vizuri and we were good.

Kupiga nilipiga vizuri mpaka alichechemea ila Shida nyumbani, Binti anatokea Tanga.

Anyway nimeamua Kufuta namba zake na memories zote. Tutajaribu tena Kwa mwingine.

Baada ya meseji hapo juu nilituma meseji nyingi sana na Nilikuwa nampenda Sikumcheat

Nimedate nae kwa miezi 6.

View attachment 2779069
I feel you rafiki .
Pole rafiki madaktari daima hupitia magumu sana ambayo jamii haiwezi kuelewa hata kidogo ila jua utampata mwingine

Jitahidi usiharhirike kisaikolojia

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Oya mwanangu soma sana tafuta kazi ufanye kazi pisi zimejaa kibao dar Hii ukishindwa kaoe kijijini kwenu rules is simple"

*Tafuta mwanamke Hapa mjini unapokaa uoe

*Waambie wazazi Wako dada zako wakitafutia mchumba uoe

*Nenda kaoe kijiji kwenu uko
 
Watoto wa 2000 wanaanza mapema sana, wakijafika 25 ni waandamizi kabisa🤣
Kwa kweli hicho cheo Cha waandamizi kinawafaa sana, maana dah Hana habari! yaani huyu ndio wale wanaosema "nikaachwa kama nimeacha"🤣🤣
 
Mdogo wangu at 23 bado mdogo sana una safari ndefu sana
It's hurt kweli lakin usiumie sana nothing last long wewe investment ya miezi sita inakuumiza hivyo wenzako wamesomesha mpaka chuo kabisa na sakatoka kapa

Kazana kusoma usije pata sup
 
Pole Sana bro

Tunashukuru umejiamini na kuleta mrejesho pongezi Sana

Last time nilizungumza na kukusisitiza jipe muda kumsoma huyu dada anakuficha ficha baadhi ya mamboz ....ila yote heri shukuru Mungu halikuwa fungu lako
amina mkuu nashukuru
 
Mdogo wangu at 23 bado mdogo sana una safari ndefu sana
It's hurt kweli lakin usiumie sana nothing last long wewe investment ya miezi sita inakuumiza hivyo wenzako wamesomesha mpaka chuo kabisa na sakatoka kapa

Kazana kusoma usije pata sup
Shukrani Sana
 
Back
Top Bottom