Mwanamke wangu anaolewa

Mwanamke wangu anaolewa

Aiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana.

Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana.

Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi yakwenda wote kwenye graduation ya Mdogo wangu Tanga huko.

Binti nyumbani wanamforce aolewe sana, mimi tu nikiwa nae tumepangua ndoa zake 2. Naona sasa imeshindikana kabisa kunisubria maana nimebakisha mwaka mmoja wa kusoma, nasoma Miaka minne kozi ya Afya na nlimuahidi ntamuoa na ndiyo ilikuwa Plan yangu.

Jana nilidhani ni utani, leo nimeenda Hospital anapofanyia anapofanyia kazi kuconfirm.

Manzi anaolewa tarehe 12/ 11 wafanyakazi wapale wameniambi. Hiyo ni meseji alintumia jana.

Nimechoka Mpaka Ikabidi nicheke. Binti ana miaka 24 , mimi ni 23

Yaani mpaka jana asubuhi tumecheka vizuri and we were good.

Kupiga nilipiga vizuri mpaka alichechemea ila Shida nyumbani, Binti anatokea Tanga.

Anyway nimeamua Kufuta namba zake na memories zote. Tutajaribu tena Kwa mwingine.

Baada ya meseji hapo juu nilituma meseji nyingi sana na Nilikuwa nampenda Sikumcheat

Nimedate nae kwa miezi 6.

View attachment 2779069
Na ww olewa tu maana unachamba zaidi ya Isha mashauz
 
Pole sana kijana piga shule! Tafuta mwingine...hapo usingetoboa
 
Anyway nimeamua Kufuta namba zake na memories zote. 😅😅😅ila ndotoni si umekariri ukapashe kiporo
 
Yan kwel umalize chuo tu fasta ukimbilie kuoa nahapo bado mtaa hujaujua, tuliza mtori nyama zipo chini
 
Back
Top Bottom