Mwanamke wangu anachat mda wote

chukua simu kaa nayo hata siku mbili uone huwa anachati na nani. usipore, iba. akiiblock ni bahati mbaya.
 
Thanks rafik
 
Makusudi mwenzio jeuri,

Kama kamwaga ugali, na wewe mwaga mboga sasa iwe ngoma droo
 
mtindo huu wa kuwasiliana na wanaume wengine na kufuta msg umekuwa kawaida sana sana kwa wanawake. na mara nyingine wanaume hao wanawasisitiza kufanya ivo kama wanajua mwanamke una mume, au mchumba. shame upon them!
ha a hahah
 
Kwa kawaida huwa unatumia chakula aina gani?
 
Huwa Ana Chati Namie Siku Zote Hivyo Ucjari
 
wewe ni jinsia gani...nitabisha ukisema wewe ni mwanaume!!!!!!
 
Kama unapata papuchi basi yatosha mengine yanini sasa!!!
 
Sasa ulitaka uzikute hizo msg kwani ni zako?
 
Muache tu, ikiwa anakusaliti, uongo haudumu milele. Ipo siku utamdaba tu
 
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
Pole sana, ukieza afungunye virago arudi kwa baba
 
Nawewe chat mkuuu!! kama mbwai mbwai tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…