Mwanamke wangu anachat mda wote

Mwanamke wangu anachat mda wote

mtindo huu wa kuwasiliana na wanaume wengine na kufuta msg umekuwa kawaida sana sana kwa wanawake. na mara nyingine wanaume hao wanawasisitiza kufanya ivo kama wanajua mwanamke una mume, au mchumba. shame upon them!
 
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
UWE UNAMSEMESHASEMESHA KIDOGO NA WEWEE LOH.. UKIFIKA NA WE UKO BIZE NA SIM KWAHIYO HAPO NI NGOMA DROO.. UCLIELIE..
 
Hakuna haja ya kuondoka nayo....atie tuu kwenye ndoo ya maji.......
Hizo ni hasira mbaya maana kesho yake ataenda kumnunulia nyingine na kuchat kama kawa. Maana siku hizi simu haiepukiki kwani atatakiwa kuwasiliana naye pia. Kuna njia ya kupata kile anachochat katika simu yake tu.
 
Hizo ni hasira mbaya maana kesho yake ataenda kumnunulia nyingine na kuchat kama kawa. Maana siku hizi simu haiepukiki kwani atatakiwa kuwasiliana naye pia. Kuna njia ya kupata kile anachochat katika simu yake tu.
Hahahaaaaa..haya mkuu...wacha aendelee kuchat
 
Umemuoa?
Au ndio NYINYI AMBAO MNAWAPANGIA SHERIA WATOTO WAWATU IKIWA HUJAWAI KUMUHUDUMIA HATA SABUNI.
Jichunguze then Think BIG
 
haha mkuu apo unajua kabisa nn kinaendelea
 
Nyie ndo mnao wafumania wake zenu kwa bed na mwanaume wakiwa uchi zen unamuuliza wanafanya nn
 
Chukua simu yake. Nenda whatsapp web. Chukua pc yako.tafta browser yoyote kama mozilla, chrome n.k Fungua web.whatsapp.com then zilink. Utaona kila kitu kwene pc yako.
Hitimisho : ambulance iwe mlangoni
 
Ama kweli mtu mshauri anachotaka,kuna ushauri anautaka huyu mkuu..
 
Hapo hauhitaji ushauri wowote.Ila wanaume wa hivyo nao wapo wengi,ila inapotokea mwanamke ndo anafanya hivyo toroka fasta.
 
Hivi unafikiri msaada wa hapa utakuwa ni zaidi ya maamuzi yako?
 
Hivi unafikiri msaada wa hapa utakuwa ni zaidi ya maamuzi yako?
nilichojifunza mimi hapa ni kuwa unapata kushea uhalali wa mawazo yako na kama hilo kweli ni tatizo. mara nyingi maamuzi hata kama tatizo ni kuwa busara ya maamuzi ni kwako. ila inatupunguzia kuwaza sana hasa wanaume ambao si wambea kuongea haya kwa marafiki. unaaa nalo hdi.stroke. thanks jf ukishauriwa inasaidia sana! japo kuna watu wana jokes sana humu
 
hili jipu nili tumbua bila ganzi sa iv cna mawazo tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom