Ndio
Oneshavupendo wa hali ya juu sana inawezekana kuna hali anaipitia pia akikupa papuchi Igonge vizuri atarudi taratibu
Balance story ili usaidike,wewe mwenyewe sahivi usiku upo jf kwanini yeye asikuwazie tofauti,acha wivu utakumaliza,presume anakupenda wewe zaidi kuliko hata hao anao chat nao, tena inaonekana anakuheshimu maana aachi conversations, maana huchelewi kumuhisi kila rafiki yake.Jaman naombeni ushauli mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi
Fatilia Kwanza Ujue Kma Hizo "Chati" Zina Madhara Kwenye Uhusiano Wenu.Jaman naombeni ushauli mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi
Ataitiwa MwiziTupa simu yake kwenye maji..
huo nao ushauri mzuri. jingine afanye mpango wa kumfichia simu na kumfanya yeye atoke, au hata akiingia bafuni unaondoka nayo kwa muda zitaingia msg utajua kinachoedelea. lakini pia ukichukua kwa kumfichia kwa muda utajua tu mahangaiko yake. na hiki la Executive sister muhimu. kama ni mchumba, tupilia mbali.kabisaKama ni mke ushamuoa mnunulie simu mpya jifanye kama ni suprise alaf mwambie umuwekee line muitest.Chukua line aliyo nayo sasa weka kwenye sim mpya futa majina yote.Na kwenye sim ya zamani futa contacts zote.The chukua hiyo sim ya zamani uwe nayo wewe.Akiuliza mwambie ni bahati mbaya.Then mwambie nimekununulia sim kwa sababu naona unachati sana labda unaochati nao ndo wenye simu hiyo ya zamani.Kuanzia leo sitaki kukuona upo bize na sim.Asipokuelewa mwambie ndo hivyo na sirudii kusema.Kama ni mke mwenye akili atakuelewa.
Kama siyo mke ni just mchumba huyo bado anachagua wa kuwa nae hajakukubali bado.
mwenzio wa saut kauwawa juzi kwa sababu ya simu so be warnedNimechukua cm yke