Mwanamke wangu anachat mda wote

Mwanamke wangu anachat mda wote

Fanya hivi, nipe namba yake nimfundishe namna ya kuishi na mume
 
Hiyo ni tabia mbaya nini wanawake mliopo hapa. Kwa nini uchati mbele ya mume wako au bf muda wote? Kama humtaki mwambie ulimpenda kimakosa achukue time kuliko kumdhalilisha namna hiyo. Asilimia kubwa huwa mnachati wa wanaume mkitoka hapo mnawapelekea vishimo vyenu. Fanyeni kazi mringe kwa pesa zeni na si za kutegemea kupewa
 
Mkuu unataka ushauri gan hapo?

Huon kwamba wew ni mshika pembe?
 
dont worry kama simu yake mchina mwisho mwezi wa sita baada ya hapo hatochat tena mvumilie hadi huo mwezi ukiona anaendelea kamshtaki TCRA
 
Ambaye anaona ni sahihi gf wake awed anachat muda wake anipe namba yake yasimu name nianze kuchati naye
 
Dawa ya moto ni moto, Anza kujichatisha galaxy msikilizie, akianza kumind basi mrekebishe, akikupotezea basi jua pochi yako imeshiba tembea fastaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom