Hapo jiandaye kupigwa chini muda si mrefu.Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
Haisaidii kwani na huyo anaechat nae utamchukua hilo ni jipu tumbuaNimechukua cm yke
gonjwa linapatikana kwenye kuchat wakati hajui anachati na nani? au ndio umekonkuludi?Duh! Hapo kimbia fasta usije ukalikwaa gonjwa...
gonjwa linapatikana kwenye kuchat wakati hajui anachati na nani? au ndio umekonkuludi?
Thanks rafiknilichojifunza mimi hapa ni kuwa unapata kushea uhalali wa mawazo yako na kama hilo kweli ni tatizo. mara nyingi maamuzi hata kama tatizo ni kuwa busara ya maamuzi ni kwako. ila inatupunguzia kuwaza sana hasa wanaume ambao si wambea kuongea haya kwa marafiki. unaaa nalo hdi.stroke. thanks jf ukishauriwa inasaidia sana! japo kuna watu wana jokes sana humu
ha a hahahmtindo huu wa kuwasiliana na wanaume wengine na kufuta msg umekuwa kawaida sana sana kwa wanawake. na mara nyingine wanaume hao wanawasisitiza kufanya ivo kama wanajua mwanamke una mume, au mchumba. shame upon them!
Atapigigiwa kelele za mwizi,wananchi wamuue bure.......!!!Refer yaliyotokea SAUTTupa simu yake kwenye maji..
Pole sana, ukieza afungunye virago arudi kwa babaJamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.