huwez mlazimisha mtu akuheshimau akujali.............km anachart mda wote mbele yako au unakatazwa hata kushika cm yake yaan yeye ndo anakuendesha mhhhhhJamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
Baba unaachiwa manyoya sshv piga block asitumie social netwek kbsJamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.