Mwanamke wa makelele mi sioi

Mwanamke wa makelele mi sioi

na mimi ni kama nimeliona hilo kazi kweli kweli

ninaamini Heaven on earth huyo mwanamke anayesema ana makelele angepewa nafasi ya kufunguka pengine tungeshangaa sana na ninaamini na yeye anamvumilia mengi sababu anampenda na ndio maana mtoa mada hawezi kusema ni aina gani ya makelele yaliyokuwa yanapigwa. huyo mwanamke anampenda ndio maana anaomba msamaha ili yaishe na si kwamba jamaa yuko parfect kama anavyo jaribu kueleza.
 
Last edited by a moderator:
Kwa vile ni maneno ya upande mmoja acha tu nikupe pole na hongera lakini zote za shinga upande.
 
Kaka Ruda si nimesema hata mimi nnamapungufu...lakin. ...unaangalia sasa...je huyu kwa tabia hizi atafaa kweli maishani??...So hapa e depents na unataka kua baba wa namna gani badae. Huoni wengine wanakesha baa au wanachelewa kurudi home kwasababu ya midomo ya wake zao.

"dont try it at home" John Cena 3: 56b
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376408322073.jpg
    uploadfromtaptalk1376408322073.jpg
    68.7 KB · Views: 229
  • uploadfromtaptalk1376408343808.jpg
    uploadfromtaptalk1376408343808.jpg
    20.2 KB · Views: 228
Akikupigia cm tena wakati una ukame pokea na mkubalie then piga afu achana nae. Hii ndo dawa ilio bakia ndg make vitabu vishaeleza, Mashehe miskitini, Mapadri makanisani, Wachungaji, Akina Dr. Ndodi, Madakitari wa mapenzi, Mama&Baba zetu lakini hawaskii!!!
 
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.

He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.

Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.

Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha watu bure.

Mapenz ni ya wawili.....mlikutana wawili..na mnatiana wawili sehemu ya privacy. Kutoa siri nje au kutaka mashauri ya nje ni sawa na kutiana stand ya posta kila mtu anaona.

Kale ka mlio ka clouds fm..."Noma sanaaa"
Nadhani hujakuwa muwazi...ingekuwa vizuri tungesikia na upande wa huyo mchumbaako pia maana haiwezekani awe na kelele tu..Kuna chanzo cha kila kitu na inawezekana wewe mwenyewe ni chanzo...
 
Hapo kwenye red sina tatizo blaza....nnaposema maneno ya chumbani simaanishi sijui kumfikisha....namaanisha. ..mambo ya wawili hayapaswi kutolewa nje..mpaka yale bwana angu ananitia ivi au vile etc.

Najua kwann ameniganda mpaka sasa...ni kwasababu ya upole..si unajua sie wasukuma hatuna makuu...kumjali...na shughuli ya kitandan....koz slogan yangu ni mwanamke kwanza. Sharti..akojoe mara mbili ndio na mimi nakojoa...lile bao lake la tatu tunakojoa wote

Ni wanamme wachache wanaowafanyia ivo wanawake....wengi ni wabinafsi

wewe na mpenzi wako wote mnahilo tatizo la kutoa siri............ Ndio maana mmeshindwa kukaa zizi moja!!!!!!!!!!!! Hebu cheki ulivyo bwabwaja hapo!!!!!!!!!!
 
Hhhhhhhhhhhh napita

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hapo kwenye red sina tatizo blaza....nnaposema maneno ya chumbani simaanishi sijui kumfikisha....namaanisha. ..mambo ya wawili hayapaswi kutolewa nje..mpaka yale bwana angu ananitia ivi au vile etc.

Najua kwann ameniganda mpaka sasa...ni kwasababu ya upole..si unajua sie wasukuma hatuna makuu...kumjali...na shughuli ya kitandan....koz slogan yangu ni mwanamke kwanza. Sharti..akojoe mara mbili ndio na mimi nakojoa...lile bao lake la tatu tunakojoa wote

Ni wanamme wachache wanaowafanyia ivo wanawake....wengi ni wabinafsi

aisee! Nadhani kuna audience flan ulikuwa umei target kuwafikishia ujumbe flan so uki round round na kwa maneno mob kwenye thread yako but at last ndo umefikia hapa!
 
Nadhani hujakuwa muwazi...ingekuwa vizuri tungesikia na upande wa huyo mchumbaako pia maana haiwezekani awe na kelele tu..Kuna chanzo cha kila kitu na inawezekana wewe mwenyewe ni chanzo...

Ni kwel..Wanaume wana tabia ya kupenda kulalamika wanapigiwa kelele lakin wao ndo chanzo kikuu cha hizo kelele..Vituko na kufanya vitu visivyoeleweka na ukimwambia ukwel kwake yey ni kelele..Mtu hawezi kukaa tu akaanza kuongea peke yke bila sababu..Wanaume jirekebisheni.
 
Mmmh majanga... Samahan lakin we mbona waonesha kama kuna aina ya majibu unayataka upatiwe? Kila mtu anamapungufu kama we umeeza kuja kusema huku kwani huku ni ndani?si ni nje pia sasa hapo goma laendelea.. Na unamoyo kulonga yotr hao..pole lakin
 
Hapo kwenye red sina tatizo blaza....nnaposema maneno ya chumbani simaanishi sijui kumfikisha....namaanisha. ..mambo ya wawili hayapaswi kutolewa nje..mpaka yale bwana angu ananitia ivi au vile etc.

Najua kwann ameniganda mpaka sasa...ni kwasababu ya upole..si unajua sie wasukuma hatuna makuu...kumjali...na shughuli ya kitandan....koz slogan yangu ni mwanamke kwanza. Sharti..akojoe mara mbili ndio na mimi nakojoa...lile bao lake la tatu tunakojoa wote

Ni wanamme wachache wanaowafanyia ivo wanawake....wengi ni wabinafsi

.....sasa je.,..baereze.,
 
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.

He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.

Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.

Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha watu bure.

Mapenz ni ya wawili.....mlikutana wawili..na mnatiana wawili sehemu ya privacy. Kutoa siri nje au kutaka mashauri ya nje ni sawa na kutiana stand ya posta kila mtu anaona.

hii sehemu (bold) nimeipenda sana
 
Kuna watu naona hawaja soma hii thread vzr....any way....wakinadada hili tatizolinaboa sana....wakati mwingine nasema labda wanawake wengi hawakui kiakili na kifikra....kuwa matured...
 
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.

He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.

Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.

Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha watu bure.

Mapenz ni ya wawili.....mlikutana wawili..na mnatiana wawili sehemu ya privacy. Kutoa siri nje au kutaka mashauri ya nje ni sawa na kutiana stand ya posta kila mtu anaona.

Kale ka mlio ka clouds fm..."Noma sanaaa"

As far as I know there is NEITHER prefect woman NOR prefect man in this world.
Wote hatujakamilika, usije ukaona watu wanaishi na wapenzi wao kwa muda mrefu ukafikiri hawagombani/hawakwazani NEVER. Relationship ni commitment, sio kukomoana. Huyo wa kwako alikuwa na kasoro ulizozitaja lakini naamini alikuwa na mazuri yake. Utatafuta mwingine naye atakuwa na kasoro zake. LOVE doesnt ask WHY. Amekuomba msamaha kwa nini msikae mkayaongea yakaisha na yeye akapata nafasi ya kutoa kero zake.
Hukumpenda, ndio ninachoweza kusema kwa sasa. Ukipata utakayempenda kwa dhati, utakuja JF kuomba ushauri jinsi ya kutatua matatizo yako na si kutamba eti 'mwanamke wa makelele mi sioi'
 
Akikupigia cm tena wakati una ukame pokea na mkubalie then piga afu achana nae. Hii ndo dawa ilio bakia ndg make vitabu vishaeleza, Mashehe miskitini, Mapadri makanisani, Wachungaji, Akina Dr. Ndodi, Madakitari wa mapenzi, Mama&Baba zetu lakini hawaskii!!!

Mungu akusaidie, naona mawazo yako mgando yameishia hapo mamu the catalyst
 
Last edited by a moderator:
Madame nimekuelewa. But kiufupi..kama nilivyotangulia kusema...tuliwekeana principal za kuishi. Mfano binafsi...sipendi mwanamke wa kujinunisha ovyo na kushikiria mambo...mambo yakitokea..mnayasolve yanaisha..na iwe kabla hamjalala yameisha...sio mpaka kesho yake mnaongelea the same thing as if hakuna issue zingine za kufanya au kufikiri. So tulikua tunarumbana sana mara kwa mara...mpaka unakua unashangaa....what is going on daah!!!..simu yangu simu yake na ya kwake ya kwake...yangu kila time anayo...ya kwake hataki uiguse.Bahati nzuri sina mambo mengi...so simu yangu ilikua ok muda wote.Nikampa mpaka passwords za social networks zangu. Alikua anapenda ugomvi tu na kunionea ndo furaha yake. Koz am a type of person ambaye sipend kuongea sana..kubishana. ..hua nasikia kama kichwa kinauma. So ni mara nyingi tumesuhulishwa tena kibaya zaidi na watu wa nje....sipend kweli hii kitu yani. Ninachomwambia hanielewi...mpaka aende kwa marafiki wamwambia kua anakosea ndio anakuja kuniomba msamaha. Kingine alichokua ananikera zaidi ni kuwaweka marafiki mbele kuliko mimi...na sometimes alidiriki kutoniheshimu mbele yao. It was too much and i was watching her like a chimpazee koz nilimwambia mara nyingi na akawa anataka ubishi mie nijielezee sana...mpaka watu majiran watusikie wajae. I wasnt ready kwa hilo kwa kweli.
 
Hapo kwenye red sina tatizo blaza....nnaposema maneno ya chumbani simaanishi sijui kumfikisha....namaanisha. ..mambo ya wawili hayapaswi kutolewa nje..mpaka yale bwana angu ananitia ivi au vile etc.

Najua kwann ameniganda mpaka sasa...ni kwasababu ya upole..si unajua sie wasukuma hatuna makuu...kumjali...na shughuli ya kitandan....koz slogan yangu ni mwanamke kwanza. Sharti..akojoe mara mbili ndio na mimi nakojoa...lile bao lake la tatu tunakojoa wote

Ni wanamme wachache wanaowafanyia ivo wanawake....wengi ni wabinafsi

Wanaume wengi wa Kisukumia ni wanafiki, ndiyo maana muda wote umeongea madhahifu ya mwenzio. Mfumo Dume huo.
 
Madame nimekuelewa. But kiufupi..kama nilivyotangulia kusema...tuliwekeana principal za kuishi. Mfano binafsi...sipendi mwanamke wa kujinunisha ovyo na kushikiria mambo...mambo yakitokea..mnayasolve yanaisha..na iwe kabla hamjalala yameisha...sio mpaka kesho yake mnaongelea the same thing as if hakuna issue zingine za kufanya au kufikiri. So tulikua tunarumbana sana mara kwa mara...mpaka unakua unashangaa....what is going on daah!!!..simu yangu simu yake na ya kwake ya kwake...yangu kila time anayo...ya kwake hataki uiguse.Bahati nzuri sina mambo mengi...so simu yangu ilikua ok muda wote.Nikampa mpaka passwords za social networks zangu. Alikua anapenda ugomvi tu na kunionea ndo furaha yake. Koz am a type of person ambaye sipend kuongea sana..kubishana. ..hua nasikia kama kichwa kinauma. So ni mara nyingi tumesuhulishwa tena kibaya zaidi na watu wa nje....sipend kweli hii kitu yani. Ninachomwambia hanielewi...mpaka aende kwa marafiki wamwambia kua anakosea ndio anakuja kuniomba msamaha. Kingine alichokua ananikera zaidi ni kuwaweka marafiki mbele kuliko mimi...na sometimes alidiriki kutoniheshimu mbele yao. It was too much and i was watching her like a chimpazee koz nilimwambia mara nyingi na akawa anataka ubishi mie nijielezee sana...mpaka watu majiran watusikie wajae. I wasnt ready kwa hilo kwa kweli.
....Nakuelewa sana
 
Back
Top Bottom