....aah, na wewe! aje na id yake so what?!! wewe unachotaka ni id au ni hoja, angalia hoja achana na mtu. cha msingi hapa ni kwamba wanawake wenye udhaifu huo aliousema wajerekebishe. hata kama na yeye ana madhaifu haimaanishi basi hao wanawake nao wasijirekebishe..two wrongs do not make it right. kb52 tumekuelewa kaka. kuna wanawake wengi wana hii tabia na imekuwa ni tatizo kubwa kwao hao wanawake kwani huwa inawarudia kuwatesa wao wenyewe.kb52 mbona unajificha sana na hii id si ungekuja na id yako?
Never go back to an old love...utakufa. Fanya research utaelewa namaanisha nni. Ukiachana na mtu..songa mbele
Huna tofauti na huyo mwanamke. Tena yeye ana afadhali manake wewe ndiyo umekubuhu kwa kutoa siri za x wako kwenye mitandao ta kijamii. Shame on you silly boy!!!!
Mungu akusaidie, naona mawazo yako mgando yameishia hapo mamu the catalyst
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.
He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.
Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.
Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha
Kuna watu naona hawaja soma hii thread vzr....any way....wakinadada hili tatizolinaboa sana....wakati mwingine nasema labda wanawake wengi hawakui kiakili na kifikra....kuwa matured...
Angalia tarehe ya hiyo post uliyoquote! Ni ya tarehe 14 August 2013.Post ina karibu mwaka ndio unacomment leo? Si ukope voda, uwe unajiunga bundle!!!
Angalia tarehe ya hiyo post uliyoquote! Ni ya tarehe 14 August 2013.
Haina mbaya pia hii ni forum waweza kukomment utakavyo tu!
Kwani maneno yake yanakufanya Nini? Utakutana na Malaya ndo utajua afadhali maneno kuliko vitendo. Nakushauri umsamehe umwambie ajirekebishe.Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.
He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.
Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.
Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha watu bure.
Mapenz ni ya wawili.....mlikutana wawili..na mnatiana wawili sehemu ya privacy. Kutoa siri nje au kutaka mashauri ya nje ni sawa na kutiana stand ya posta kila mtu anaona.
Kale ka mlio ka clouds fm..."Noma sanaaa"