Mwanamke wa makelele mi sioi

Mwanamke wa makelele mi sioi

Kuna wanawake ni Psychiatric, my very first gilfriend Jacky alikuwa na hio shida ya uswahili sana na ujuaji, tulipozoeana kama wapenzi nilimpenda sana nikamuonesha hilo akaanza kuwa contolling na mbwatukaji sana! Kitu kidogo anatumia lugha kali ya maudhi kuja kuchunguza kumbe alishaanza na kuni cheat! Hasira hazimuishi yani tukiwa tunatembea anasalimiana na kila mtu hasa vidume ukiwa umesimama nae baadae anakumaindi, sitosahau siku nimeenda nae club kucheza nae baadae anakuja kuniambia eti watu wamemsema "naona ulikuja na bodyguard jana" kwa kuwa nilikuwa nimekaa counter ya karibu na alipo,at last nilkuja gundua ni mbinu tu alizokuwa anatumia ili tuachane!

Gf wa tatu nae akawa hivyo hivyo baada ya kujua nampenda sana ila yeye hakuwa mtu wa kuongelea mambo yetu kwa watu ila tukiwa wenyewe alikuwa ananichemsha sana, na ana zile kauli za kuudhi ikafikia stage nikawa namdunda maana alizidi kunibore! Mkipishana kidogo ana kuwa very aggressive, na panic za kijinga! Kitu hata sio cha kumaindi atalianzisha ukijitahidi kunyamaza anakuchokonoa na maneno makali ikawa nampa parking brake kwa kelebu!

Hvyo mtoa mada nakuelewa sana, naona wanwake wengi wana punch mada kutaka kuonesha kuwa wewe una matatizo wakati kitendo cha kuja hapa ni kwamba unataka ku exhale na kiuhalisia wanawake wengi wana hio shida ya kelele!
 
Kuna wanawake ni Psychiatric, my very first gilfriend Jacky alikuwa na hio shida ya uswahili sana na ujuaji, tulipozoeana kama wapenzi nilimpenda sana nikamuonesha hilo akaanza kuwa contolling na mbwatukaji sana! Kitu kidogo anatumia lugha kali ya maudhi kuja kuchunguza kumbe alishaanza na kuni cheat! Hasira hazimuishi yani tukiwa tunatembea anasalimiana na kila mtu hasa vidume ukiwa umesimama nae baadae anakumaindi, sitosahau siku nimeenda nae club kucheza nae baadae anakuja kuniambia eti watu wamemsema "naona ulikuja na bodyguard jana" kwa kuwa nilikuwa nimekaa counter ya karibu na alipo,at last nilkuja gundua ni mbinu tu alizokuwa anatumia ili tuachane!

Gf wa tatu nae akawa hivyo hivyo baada ya kujua nampenda sana ila yeye hakuwa mtu wa kuongelea mambo yetu kwa watu ila tukiwa wenyewe alikuwa ananichemsha sana, na ana zile kauli za kuudhi ikafikia stage nikawa namdunda maana alizidi kunibore!

Hvyo mtoa mada nakuelewa sana, naona wanwake wengi wana punch mada kutaka kuonesha kuwa wewe una matatizo wakati kitendo cha kuja hapa ni kwamba unataka ku exhale na kiuhalisia wanawake wengi wana hio shida ya kelele!
Aisee pole mkuu. Mm ni introvent, sipatani na kelele kabisa. Yaani vuruguvurugu hata kwenye mziki mkubwa huwa sikai kabisa.

Niliwahi kupata mwanamke anaongea subuhi mpaka jion. Na anataka akikupigia upokee.. usipopokea vurugu lake ataongea mpaka kesho saa tatu usiku.
Kila kitu anajua yeye wkt hata diploma hana.. basi anajifanya mzungu wkt ni demu wa uswazi .
Nikaona ili kuepusha kupiga mtoto wa watu nikamtema. Aliwahi kuniambia "ukiwa na mwanamke mkimya nyumba itapoa" nikakumbuka ule mstari wa biblia unaosema ni bora ukae kwenye pembe ya dari kuliko kukaa na mwanamke mwenye vurugu
 
Aisee mwanamke lopolopo hafai hata kwa kulumangia mzee! Ni balaa tupu yani! Huyo ndio mwanamke wa kiswahili yani, yanapendaga attention hayo na we ukiwa si muongeaji huwezi piga piga simu atakuona humjali! Tabu inaanza hapo sasa! Aisee mi ni muongeaji japo inategemea naongea na mtu wa design gani, wale wa story nyingi tutapiga, wale wa chache vivo hivyo ila sipendagi mtu anizingue kabisaaa, hapo ndio ugomvi na mimi utapoanza wala mie sipendagi kumzingua mtu!
 
Back
Top Bottom