kb52
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 336
- 110
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane. Mapenzi yalianza moto..tukawekeana principals za kuishi. Baada ya muda...mwanamke akawa na ghubu. Full makelele....hasikii...ukimwonya vitu haelewi. Kitu kidogo anakikuza kinakua kikubwa...mbaya zaidi ni kutoa maneno ya ndani nje..anatangazia dunia nzima. Kila siku yeye anataka ugomvi...hata kama ukijitahidi vipi kufanya mazuri au kujifanya zuzu...yeye makelele ndio furaha yake. Ikafika stage nikafanya maamuzi...kimya kimya nikamuacha bila kujua...nikawa bize na ratiba zangu na kua mbali nae.
He!.siakaanza kunitafuta kwa udi na uvumba..full kupiga masimu ovyo kila kukicha. Nikamblock..akawa anatumia line tofauti. Ikafika stage nikaamua kupokea simu yake....full kulia huku anaongea..kwamba nimsamehe.
Kwa kua tayari nilikua nshamsoma tabia yake ya kusambaza maneno ya chumbani kwa watu...na mtu wa ugomvi kila mara...nikamaikiliza then nikamwambia kama kamaliza kuongea then nikakata simu.
Nawashauri wanawake...mkipata wenzi..tulieni...acheni midomo au kushow matabia ya makelele kwa wanamme....au kutokua na privacy. Kitu kidogo kikitokea...unaenda kuwaambia watu million...kusuhulisha na mwenzi wako hutaki. Ukishashauriwa na watu ndio unarudi tena...huku siri zote unapeleka nje kuwafaidisha watu bure.
Mapenz ni ya wawili.....mlikutana wawili..na mnatiana wawili sehemu ya privacy. Kutoa siri nje au kutaka mashauri ya nje ni sawa na kutiana stand ya posta kila mtu anaona.
Kale ka mlio ka clouds fm..."Noma sanaaa"