Mwenyeminazi
Senior Member
- May 24, 2012
- 194
- 67
Mimi ni kijana mtanashati na nimeoa na nina watoto watatu tu.
Mke wangu hataki tuendelee kuzaa anasema hapo ndio mwisho. Mi nataka watoto wengi iwezekanavyo maana uwezo wa kuwalea ninao. watoto wengi ni kwasababu ukoo wetu ni mdogo saana. NAHOFIA UTATOWEKA.
Sasa nimeona mtu ambae anahitaji la mtoto basi anipe mimi hilo Jukumu la kumzalisha tuongeze ukoo wetu. malezi atapata. Ila nae awe na uwezo kido wa kujimudu isije ikawa kila kitu ndio kwangu ataleta migogoro.
Tusingatie pia swala la Tuko wangapi?? ili tutulizane nae