Uhalali wa kuoa mke zaidi ya mmoja (maoni yangu kama mwanamke)

moonlightj12

Member
Dec 6, 2022
33
90
Nilileta thread hapa ya Dr. Ceaser akiongelea uhalali wa kuoa mke zaidi ya mmoja..

Maoni yangu kama mwanamke ntaongea kile nilichogain kutoka huyu mchungaji

Kuna watu kama Yakobo, Abraham, mfalme Daudi, Mwamba Suleiman nk.... Hawa ni watu ambao walikua na mke zaidi ya mmoja

Lakini pia watu hao walikua na uwezo kifedha walimiliki mifugo, ardhi na dhahabu

Mimi kama mwanamke baada ya kumsikiliza na ametoa vifungu vyake vya biblia sioni dhambi Wala kosa mwanamme kuoa mke zaidi ya mmoja

Yaani kama mume wangu atakua na uwezo kifedha sitamzuia kuoa mke wa pili na watu nk......

Mambo ya Dunia yanapita najua wanawake wengi mtanipinga lakini ni swala la muda tu kanisa litàluhusu Hili

Kulikoni kuendelea kuumia na kuuguza maumivu tukubali jambo moja mwanaume sio wa mwanamke mmoja

Ni ngum kumeza ila ni ukweli, ndoa zinavunjika kwa sababu za kijinga tunawatesa watoto kwa sababu tu tunataka tugandane na wanaume mda wote

Tuna haribu sana kizazi kijacho divorce ni nyingi masingle ndo usiseme, tufike mahali tujiulize what are we doing,?

Wazee wetu walikua na mke zaidi ya mmoja na waliishi kwa amani

Siioni dhambi kama mume atatuoa wawili au watatu akaweza kututunza na watoto wetu

Kuliko kuishia kuZaa watoto ambao wanalelewa na wababa tofauti au wamama tofauti

We need to grow

Pastor Dr ceaser na apostle Daniel j musokwa wamenitengeneza niwe mwanamke wa Ivi Mungu awatunze

I hope siku moja ntapa kibali Cha kufundisha haya public.
 
Nilileta thread apa ya Dr ceaser akiongelea uhalali wa kuoa mke zaidi ya mmoja..

Maoni yangu kama mwanamke ntaongea kile nilichogain kutoka huyu mchungaji

Kuna watu kama yakobo, Abraham, mfalme daudi, mwamba Suleiman nk.... Hawa ni watu ambao walikua na mke zaidi ya mmoja

Uzi mzuri hadi apo ulipanza kutengenezwa na mapastor
 
Hakuna kitu kinachwekwa kipaumbele na mswahili Kama NGONO.

Ni NGONO NGONO NGONO NGONO.

Hakuna sababu nyingine wanaotaka wake wengi hiwa wanatoa zaidi ya NGONO, NGONO, NGONOO.

Zamani wazee wetu walioa wake wengi wawasaidie KAZI ZA MASHAMBA na MIFUGO.

Ila kwasasa ni NGONO.

Na kiuhalisia kadri MTU anavyokuwa na idadi kubwa ya WANAWAKE ndivyo na inaonesha UDUMAVU wa AKILI yake.

Ndio maana MAGENIUS wakubwa duniani hawakuoa kabisa.
 
Mimi nikiwaza kuoa ntaoa wake wawili hadi wanne
 
Wakiristo wengi ni wanafiki, wanaoa mke moja ila wana kua na michepuko kibao nje, mpaka viongozi wao wanathubutu kuza wakati dini yao haiwaruhusu. Hao watu hawako serious na dini yao.
Huwezi kupambana na nature itabidi wabadili hicho kipengere
IMG-20221207-WA0010.jpg
 
Wakiristo wengi ni wanafiki, wanaoa mke moja ila wana kua na michepuko kibao nje, mpaka viongozi wao wanathubutu kuza wakati dini yao haiwaruhusu. Hao watu hawako serious na dini yao.
Huwezi kupambana na nature itabidi wabadili hicho kipengereView attachment 2452508
Ila mabaharia asee.. ndo kumtwisha sister wa watu mimba, mtu kala kiapo cha milele 🤔
 
Umeongea kwa busara, big up! Tembelea makanisa mbalimbali uwape hilo somo. Hakika NAMI nakuambia "hakuna mwanaume aliyekamika anaetosheka na mke mmoja" Inaonekana mababu zetu walijua hivyo na waliokuwa na wake wengi. Kizazi hiki kimedanganywa na hizi dini.
 
Hakuna kitu kinachwekwa kipaumbele na mswahili Kama NGONO.

Ni NGONO NGONO NGONO NGONO.

Hakuna sababu nyingine wanaotaka wake wengi hiwa wanatoa zaidi ya NGONO, NGONO, NGONOO.

Zamani wazee wetu walioa wake wengi wawasaidie KAZI ZA MASHAMBA na MIFUGO.

Ila kwasasa ni NGONO.

Na kiuhalisia kadri MTU anavyokuwa na idadi kubwa ya WANAWAKE ndivyo na inaonesha UDUMAVU wa AKILI yake.

Ndio maana MAGENIUS wakubwa duniani hawakuoa kabisa.
Wewe utakuwa bwege Moja was kufungia guy mwaka.😂😂😂
 
Siioni dhambi kama mume atatuoa wawili au watatu akaweza kututunza na watoto wetu

Kuliko kuishia kuZaa watoto ambao wanalelewa na wababa tofauti au wamama tofauti
Okay kumbe unaongea kwa nadharia hujaolewa bado eeh? Kuna love connect humu shusha sifa unazotaka.. ila kua makini na mtu anaitwa mzabzab 😁
 
Hakuna kitu kinachwekwa kipaumbele na mswahili Kama NGONO.

Ni NGONO NGONO NGONO NGONO.

Hakuna sababu nyingine wanaotaka wake wengi hiwa wanatoa zaidi ya NGONO, NGONO, NGONOO.

Zamani wazee wetu walioa wake wengi wawasaidie KAZI ZA MASHAMBA na MIFUGO.

Ila kwasasa ni NGONO.

Na kiuhalisia kadri MTU anavyokuwa na idadi kubwa ya WANAWAKE ndivyo na inaonesha UDUMAVU wa AKILI yake.

Ndio maana MAGENIUS wakubwa duniani hawakuoa kabisa.
Mkuu hamna starehe nzuri kwa binaadamu na wanyama kama ngono isipo kua waswahili wengi wataki kuijadili kwa wakati wake, wengine vijana hawafanye kazi wanajafili ngono na mpira, ila kwa ukweli huwezi kutenganisha sex and Man unless you ur crazy
 
Siliafiki hilo aisee, utadedishwa chap ama lah mke mmojawapo na wanae watadedishwa.

Wanawake wengi sasa hivi wana wivu na wanapenda mno pesa.
Mfumo dume zamani ulisaidia sana hizo ndo kutoleta mtafaruku, ila hii 50/50 ya sasa na za mitaala aisee hilo ni bomu.

Mke mmoja anatosha.
 
Mambo ya Dunia yanapita, lakini ni swala la muda tu kanisa litaruhusu hii.
 
Hivi hii picha ni movie au reality?
Hiyo picha ni ya kweli huyu sister iko Younde Cameroon, ila kanisa I asinginziwa eti ugonjwa, watu wanauliza inakua je mgonjwa anazurura mjini, tena na kunawili kiasi hicho hamna mgonjwa kama huyu. Tumbo gumu kabisa hivo.
 
Sister kakataa unafiki. Nyege is real!
 
Back
Top Bottom