Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
namkubali kweli deokaman, ila sasa kasheshe ni kuwa nimemzimikia BIDAM.....cjui kama deokman ataniachia....lol
Kama ukiona Misil anakuzingua muunge mkono Deokman na Yusin na Kim Chunchu! ukiona wote wanakuchanganya nenda pale jirani yao nchi ya Baekje, kuna general Gye Baek, huwa ni mtu poa sana na atakupokea...
 
namkubali kweli deokaman, ila sasa kasheshe ni kuwa nimemzimikia BIDAM.....cjui kama deokman ataniachia....lol
weeee..chezea mbali wewe...umemzimikia Bidam?..unatafuta balaa hapo kwa Deokman, hebu jaribu kuangalia pasipo na upinzani kama Yusin au Bojong..pole sana..za wapi mida hii?
 
aicee 90% wanapenda limbwata ndani ya ndoa af kwa historia yangu demu wa kirangi hajawahi kunikataa,kuna mwingine alinikubalia nakuja home namueleza bro ananiambia yle ni demu wake na ushahidi kibao, anyway maybe wako yuko kune 10%
Aristolicious, inabidi ushukuru sana huyo ccta duu hakutaka kugawa mbali ndo maana aliamua kukupa wewe na bro wako, una bahati kaka.......................samahani huyo mdada alikuwa na kale kaspidi gavana(kicmi)? huwa nasikia hawa huwa wanakinyofoa hawataki hata kukiona
 
hilo nalo neno...
 
inategemea na mtu jamani...omba Mungu wako tu...kila la kheri Inshaallah!!
 
siyo mimi muowaji ila ni jamaa mmoja hivi ndio alitaka msaada, anahofia kuibiwa kwa hali ya juu mpaka ikawa keo mtaani. kuna kiwango cha kuibiwa lakini kikizidi mpaka mtaani ikawa kama mpira wa kona inakera sana...ina maana ukicheche ni suala la kabila au mtu mwenyewe? hapo ndipo weng wanashindwa kuelewa...
kuna ndugu yangu kaoa huko.. ila inategemea na mtu mwenyewe kwani huwezi jua kila mtu na bahati yake..amini umepata km kweli umempenda, the rest sio kazi yako ni kazi ya Mungu!!
 
yani hapo ndugu yangu, nikuambie kitu, mwisho wa siku haya mambo ya mke mwema au mume mwema haijalishi kabila wala dini au rangi ya mtu...ni mtu mwenyewe tu na kulka zake maana waweza sema warangi wana tabia chafu bora kabila fulani, kumbe ukakuta ni hovyo bora hata hao uliowatilia mashaka..sasa hapa muhimu ni kutokusikiliza ya watu..NDOA maana yake ni MAELEWANO...kama wawili mna uhakika kuwa mnaelewana na kuwa tayari kuishi pamoja maisha yenu yote kwa upendo, uvumilivu, furaha, amani na uaminifu to mention a few, basi ni kuoana tu bila kujali mambo ya makabila...zaidi ya yote, kuomba Mungu ni lazima. Inshaallah mambo yake yatakuwa mazuri.
siyo mimi muowaji ila ni jamaa mmoja hivi ndio alitaka msaada, anahofia kuibiwa kwa hali ya juu mpaka ikawa keo mtaani. kuna kiwango cha kuibiwa lakini kikizidi mpaka mtaani ikawa kama mpira wa kona inakera sana...ina maana ukicheche ni suala la kabila au mtu mwenyewe? hapo ndipo weng wanashindwa kuelewa...
 
u actually think beyong normal! asante sana kwa kuelewesha umma wa watanzania!
yani hapo ndugu yangu, nikuambie kitu, mwisho wa siku haya mambo ya mke mwema au mume mwema haijalishi kabila wala dini au rangi ya mtu...ni mtu mwenyewe tu na kulka zake maana waweza sema warangi wana tabia chafu bora kabila fulani, kumbe ukakuta ni hovyo bora hata hao uliowatilia mashaka..sasa hapa muhimu ni kutokusikiliza ya watu..NDOA maana yake ni MAELEWANO...kama wawili mna uhakika kuwa mnaelewana na kuwa tayari kuishi pamoja maisha yenu yote kwa upendo, uvumilivu, furaha, amani na uaminifu to mention a few, basi ni kuoana tu bila kujali mambo ya makabila...zaidi ya yote, kuomba Mungu ni lazima. Inshaallah mambo yake yatakuwa mazuri.
 
Mkuu mimi huko urangini nimeshakaa kama miaka 3 hivi,nilichogundua kuhusu wanawake hao ni kuwa watulivu sana kwa muonekano anapokuwa na mtu,tatizo anapogundua kuwa kuna mtu anamtaka kimapenzi huwa ni wagumu sana kusema neno haiwezekani,flirting mitaa ile muheshimiwa ni nje-nje,ninacho wasifu ni wa siri sana,anapokuwa na afair ya nje ya mahusiano hamwambii hata rafikiye wa karibu,kwahiyo leakage huwa ni almost impossible labda siku iwe imefika litokee fumanizi.

si nilisikia wannyiramba na wale watokao manyara ndo balaa kwa kuvua chu.pi! kumbe tena kuna warangi duhhhhhhhhh
 
labda wanazidiana kwa kiwango cha kupenda muhogo...huenda wanyiramba na watu wa manyara wanaongoza wakifuatiwa na warangi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom