Mwanamke wa Kibongo akimpenda mwanaume

Mwanamke wa Kibongo akimpenda mwanaume

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hivi ni kwanini mwanamke wa kikwetu hapa Tanzania kama akimzimikia mwanaume fulani huwa anatingisha makalio yake? Yaani huwa kama akijua jamaa yupo mahali fulani basi atavaa kanga au nguo ya kubana na kupita huku akitingisha makalio hii inakuwa na maana gani?
 
Uzuri wa kondoo Mkia hujui hilooo.
Makalio yanayotingishika kwa style nzuri yanamvuto wake hiyo ni mitego tu usitoe macho
 
Barbarosa

Aaahaa kumbe mimi nilifikiri yanatingishika yenyewe kumbe ni makusudi tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni mwanamke, ulitaka atunishe misuli ya mikono na kifua? Anapojitingisha hujisikii appetite ?
 
wengine wAnatembea kama bata vile .kulia kushoto kulia kushoto .ahaha
 
Back
Top Bottom