Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Hivi ni kwanini mwanamke wa kikwetu hapa Tanzania kama akimzimikia mwanaume fulani huwa anatingisha makalio yake? Yaani huwa kama akijua jamaa yupo mahali fulani basi atavaa kanga au nguo ya kubana na kupita huku akitingisha makalio hii inakuwa na maana gani?