Mwanamke wa Joh Makini ni kituko

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Ukiangalia video ya kwenye harusi ya G Nako kila msanii wa kundi la Weusi alipita mbele kucheza na mwanamke wake.

Ila mwanamke aliyekuwa na Joh Makini utafikiri amekutana nae njiani akamuomba amsindikize kwenye harusi, ni kama amemtoa Ambiance. Tazama video uone mwenyewe, lini ipo hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo demu ni Engineer kitambo sana tangu 2008. Sijaona tatizo lolote au kuna dalili za mtu kuanza kubadilika jinsi na kutsmani jinsia, ya wenzake
 
Wivu unakusumbua, wewe ulitaka aweje ungeniambia mavazi labda ningekukubalia kidogo
Ukiangalia video ya kwenye harusi ya G Nako kila msanii wa kundi la Weusi alipita mbele kucheza na mwanamke wake.

Ila mwanamke aliyekuwa na Joh Makini utafikiri amekutana nae njiani akamuomba amsindikize kwenye harusi, ni kama amemtoa Ambiance. Tazama video uone mwenyewe, lini ipo hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom