Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Naye yuko kwenye uchunguzi kama wewe ni mtoaji.............kifupi huyo mwanamke anatamaa..ukifulia imekula kwako.....jipange bro
 
Toa hela wewe acha kubana ! je ww ungeomba nyap** angekukatalia ungekuja omba msaaada ? pesa ni moja ya kipimo chake kwako,usipo mpa kaka itakula kwako 'toa helaaa'
 
Punguza bajeti ya bia ili umuonge huyu mwanamke..

Mke anaandaliwa kaka, uwezi kumkuta anatabia njema moja kwa moja mm
 

Ulimtongoza kwa kumwambia unataka kumuoa au unataka kupiga gemu tu? Pengine kakuona unataka gemu tu, sasa anahofia kuliwa kwa mkopo. Ndio maana anatanguliza ankara kabisa.
 
Ulimtongoza kwa kumwambia unataka kumuoa au unataka kupiga gemu tu? Pengine kakuona unataka gemu tu, sasa anahofia kuliwa kwa mkopo. Ndio maana anatanguliza ankara kabisa.
Hahahaaahaaaa......
 
Aaaagrrrh anaomba hela?.... Tena baada ya siku mbili tu???

Mlie target umpige mimba!!!
 
Wanataka wapewe wao.....hivi wanaume wa siku hizi mmekuaje....?.....kwa nini hamtaki kutoa hela......?.........ua bila kumwagiliwa mnadhani litapendezaje......?......

Jamaa asingemtongoza, angeomba hela kwa nani? Hana wazazi?
 


Mkuu, kumbuka kuomba receipt kila unapotoa pesa, maana TRA watakuuliza returns!
 
Mie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!

Gharama gani wakati wote tunapata raha? kama ni rahisi wanaume kuwa tunatoa pesa muda wote ni vizuri pia wawe wanawapa wanaume kwa kuwastarehesha pia!
 
Gharama gani wakati wote tunapata raha? kama ni rahisi wanaume kuwa tunatoa pesa muda wote ni vizuri pia wawe wanawapa wanaume kwa kuwastarehesha pia!

Ndio maana ukaitwa mwanaume nae mwanamke, haki inatakiwa iwe sawa ila majukumu kamweee hayawezi kuwa sawa, we umesahau kuwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama? Basi usione taabu kuhudumia, km hutaki mwambie muhusika hautaki sio kutujazia saver na kelele zisizo na miguu wala kichwa.

Alafu hushikiwi bunduki kutoa, km hutaki tell her, wenzio wanatoa tu,so we baki na vilio vyako.
 

Kama hakuna tafiti huna haki ya kusema, ni wapi imeandikwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama? ina maana wanaume hawana viungo! wana nini basi chao? toa ushahidi wa kauli yako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…