Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Mlikubaliana mchunguzane keshaanza kukuchunguza kama unajimudu unatakiwa umuonyeshe kuwa unajimudu mpe hela tu.
 
Mnyime tu sianakuchunguza?
 
Huyo atakulia hela zako na atakula kona, ndio style zao siku hiz
 
hiyo ni big G mkuu, tafuna ikiisha utamu tema
 
ebana nimejibu jibu ambalo hukustahili kujibiwa, ila jibu langu serious huyo mwanamke sio wa kuoa mkuu, mwanamke kama huyo anaweza kuuza utu wake kwa ajili ya hela, labda mwanamke akiwa na shida serious akiomba hela labda hapo mtu unaweza ona aibu kushindwa kutoa, lakini huyo wa siku mbili huyo hafai, na uwezo wake wa kufikiri pia utakua mdogo kumgeuza mwanaume uliyekutana nae jana kitega uchumi, niamini mkuu wanawake wazuri wapo na utapata wife mzuri mtafutaji achana na kejeli za hapa
 
@reaj G Nashukuru kwa ushauri mzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…