EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.
Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.