Akili za kuchezea bao ni nzuri kuliko za kuchungia ng'ombe
Hata km mna viwanda mbona mnashinda vilabu vya mataputapu sababu hamna mkwanja
Mataputapu yatawaua shauri zenu
Tandale kwa tumbo mbagala mbona uswahilini kwenye mafuriko kila mwaka mataputapu yapo ya kutosha mnabwia unga mmekuwa nyoka halafu nyie wanaume wa dar wachoyo sana

Tunapapenda huko Uswaz sababu ni kuzuri na mafuriko yanasaidia kupunguza Joto
Itakuwa ulikuja zamani tena nguo uliweka kwenye rambo .....njoo Tandale hata muda huu uone watu tunapiga vinywaji vya kimataifa sio nyie wanywa ulanzi
Sasa wewe Bitoz hapo darisalaam unakaa pande zipi jmosi naleta mifugo nataka nikuletee jogoo la mkoani sio kila siku unakula mikuku ya kubumba ndio maana una tumbo kama chura siku dada zenu hatuwataki wana vitambi kama kaka zao

Unaona sasa ndio maana panyaroad wanatimua yaani wewe bisi na soseji ndio msosi kwako kwanini nisikuletee michembe mahindi na unga wa mhogo sato na jogoo wawili ili uwe na nguvu sawa Bitoz mdebwedo?