Mwanamke wa Dar

Bitoz upo kweli jumatatu lazima nikuletee msaada nasikia ile bomoa bomoa ya kupisha ujenzi wa SGR walipitia banda lako la kuishi nasikia unashi kwenye makorido ya watu
 
Wacheki Joto City girlz

Mabushstar endeleeni kukaa maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!

NB
Thread ipo kiutani zaidi
Madem Wenu Kila Kitu Fake Kuanzia Nywele Kucha Ngozi Papuchi Hata Sauti Vyote Fake Huku Kijijini Vitu Natural Aisee.
 
Bitoz upo kweli jumatatu lazima nikuletee msaada nasikia ile bomoa bomoa ya kupisha ujenzi wa SGR walipitia banda lako la kuishi nasikia unashi kwenye makorido ya watu
Nilitoweka mzee
Vipi bado unachunga ng'ombe huko porini kwenu ?
 
Fly over hazijakuacha salama....

Hivi hao waporipori vitu kama hivi wataviona wapi ?
Nafikiri siku wakija Joto City na kuona flyover watataka wazindue kwa kupitisha ng'ombe zao hapo

Nakumbuka nilipita daraja la Magufuli/Kilombero nikawakuta wanashindana kupitisha mifugo
 
Safi sana nilikuweko huko kwenu nikasema nikutafute nikaambiwa ulikimbia zoezi la mkuu wa mkoa la kupimwa tezi dume
Acha hizo mzee nilienda bush sasa si unajua hata umeme mbinde hivyo smartphone ikakosa kazi ....nikajiuliza hawa waporipori wanawezaje kuishi aisha ya kibundibundi ?

Lile zoezi lilikuwa kiki tu ya yule Ndombolo wa pake Ilala Boma !!!
 
Hebu kwanza tuulizane ulikuwa wapi kijana siku zote hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…