Mwanamke wa Dar

Hahahahaha bora vibanda vya tope lakini vinajitegemea stoo inajulikana na jiko pekee nyumba ya kulala inajulikana lakini wewe hapo bonde la msimbazi chumba kimoja choo humo jiko ndio hilo bafu ndio hilo chumba ndio hicho stoo ndiyo hiyo sasa wewe ni mtu au na wewe ni sehemu ya vitu vinavyohifadhiwa ndani ya stoo?
 
Ndio maana ukifika Mikumi ubashindwa kutofautisha ng'ombe na nyati
 
Limekupata la gizani kuanzia lini mikumi kukawa na ng'ombe toka nje ya kamji ka dar uione dunia au unahofia mafuriko?
 
Limekupata la gizani kuanzia lini mikumi kukawa na ng'ombe toka nje ya kamji ka dar uione dunia au unahofia mafuriko?
Namaainisha ukifika Mikumi ukiona nyati anafikiri ng'ombe
 
bitoz.kumbe hii njemba imevaa blauz na gagulo ya kaptula??teh teh teh!!!ila mkabidhi mkeo uone itakachomfanya,mkeo lazima aombe matumizi ya vipande vya barafu!!!
 
Huyo mjinga aliyepost picha ya uchi aifute ...........asituharibie Uzi wetu
............
 
bitoz.kumbe hii njemba imevaa blauz na gagulo ya kaptula??teh teh teh!!!ila mkabidhi mkeo uone itakachomfanya,mkeo lazima aombe matumizi ya vipande vya barafu!!!
Utawaweza waporipori
 
Dar
Dsm
D'salaam
Dar Es Salaam
Daresalama
Daslamu
Dasalama
 
Bitoz nyangema unauliza wanaume tuko wapi tupo tunasaka noti tukija huko dada zako watushobokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…