Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

Kama ni rafiki wa ukwelii hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.

Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
Kaunga mimi kuna msichana m1 alikuwa best wangu kweli ilikuwa akitokewa na mshikaji lazma aniambie japo mimi nilikuwa msiri kwa mambo yangu sikuwa namwambia kila kitu kama ilivyokuwa kwake.siku 1 akaniambia kuna mwanaume kamfuatilia miaka 6 kashamkataa lakni mkaka aelewi,mimi nikamwambia mie miez3 inanitosha kumfuatilia msichana ninimkosa nasepa ,si akaanza kujisifu eti wasichana naokutana nao wanakuwa si wazuri kama yeye nikamwambia wewe nikiamua ndani ya mwez aufurukuti lazma nikupate akagoma tena akasema nisahau kuwa nae tutabaki kuwa friend vilevile ajawai kuwa na isia za mapenz juu yangu,ilikuwa mzaha lakni yeye akawa anapga ikulu mwanaume nikafunguka nikamwambia ata mimi ajawai kunivutia na kamwe siwez lala nae namuona wakawaida sana ,ghafla kimya kikatawala akakata simu akanitumia txt akitaka niandike kile nilchosema asome katika utuliv nikampotezea baada ya kuisi nimemuhumza ,kuanzia hapo urafiki umepungua samtime nikmpigia ananipotezea.wanawake mnapenda sifa za kijinga mkipewa ukwel mnamaind kama huyu mwenzenu alikuwa anapima kina cha maji kwa mguu
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi,,,,,,,,,,,,nina uhakika kuwa una majibu sahihi ya kabisa ya hii topiki yako!
 
Mtambuzi, Me hii issue kama vile unanifahamu hivi. kuna mkaka m1 nilikutana naye mahali flani (2010 feb) alikuwa anatafuta nyumba ya kuishi na mimi nilikuwa natafuta frame ya biashara nyumba hiyo hiyo, basi katika kumsubiria mwenye nyumba ndo tukaanza kufahamiana ye alikwua amehamia mkoani hapa (jina kapuni) so ni mgeni hakuwa na rafiki tofauti na wafanyakazi wenzie basi tuaanza urafiki tulishirikishana mambo mengi ikiwemo mahuano yetu. tuliashauriana na tulizidi kwua karibu na kila mtu alikuwa anamuheshimu mwenzake kama rafiki... mwaka 2011 oct, akawa amevunja mahusiano na mpenzi wake, sababu alinambia distance kwa vile yeye alihama kuja huku... ila sababu nyingine nimeziweka kapuni... basi akawa ananilazimisha mimi niwe mpenzi wake, kiukweli ilikuwa ngumu kwani sikwua na hisia naye za kimapenzi hata kidogo, nilimpenda kama rafiki na nilikuwa close naye na nilimueleza 90% ya siri zangu, kifamilia, kikazi, kimahusiano so alikwua nanifahamu fika hivo ilikuwa ni ngumu sana..... asi mwaka huu mwanzoni nikaona anazidi kwua serious nikamwambia kuwa mimi na wewe hatuwezi kuwa wapenzi cos kiukweli sina hisia kabisa na wewe ila nakupenda kama rafiki yangu wa karibu sana. alinielewa na mimi nilishikilia msimamo wangu wa kutomvulia pichu na alivyoona nimekuwa na msimamo akabadili nia na kukubali msimamo wangu. ... mpaka leo urafiki unaendelea na ameshapata mchumba na anatarajia kuoa mwanzoni mwa mwaka ujao! So urafiki kati na mwanaume na mwanamke unaweza kufika mbali iwapo mwanamke ambaye ni muhanga atakwua na msimamo katika huu urafiki!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh, jamaa anaonekana amedhamiria kweli...........
Haponi mtu hapo

couple_annoyed.jpg
nikama anasema naonja yaan kiduuchu tu hata ukinipa leo siku nyingine sikusumbui tena.kishtobe kinajibu na wewe king'ang'anizi kama nini subiri basi nikaoge.
 
Mtambuzi,,,,,,,,,,,,nina uhakika kuwa una majibu sahihi ya kabisa ya hii topiki yako!

Nilishasema mapema kwenye hii post chini....................
Haya fungukeni kabla sijaharibu.................................LOL

Kisha nikaweka angalizo hapa chini....................

Naomba muwe wakweli wa nafsi zenu kwani mtawasaidia wanaume wengi wanaotaka kupitiliza.......................
 
BAba Bwana? Mbona umawatreat wanawake kama viumbe wasio na hisia? Kama viumbe ambao hisia zao huongozwa na hisia za wanaume??

If the feelings are mutual, mtaclick but kama mwanamke hana hisia za kimapenzi kwa huyo mwanaume na kama huyo mwanaume harespect hisia na maamuzi ya mwanamke kiasi cha kutishia kuvunja urafiki definitely hafai kuwa rafiki in the first place.

Mtambuzi, Me hii issue kama vile unanifahamu hivi. kuna mkaka m1 nilikutana naye mahali flani (2010 feb) alikuwa anatafuta nyumba ya kuishi na mimi nilikuwa natafuta frame ya biashara nyumba hiyo hiyo, basi katika kumsubiria mwenye nyumba ndo tukaanza kufahamiana ye alikwua amehamia mkoani hapa (jina kapuni) so ni mgeni hakuwa na rafiki tofauti na wafanyakazi wenzie basi tuaanza urafiki tulishirikishana mambo mengi ikiwemo mahuano yetu. tuliashauriana na tulizidi kwua karibu na kila mtu alikuwa anamuheshimu mwenzake kama rafiki... mwaka 2011 oct, akawa amevunja mahusiano na mpenzi wake, sababu alinambia distance kwa vile yeye alihama kuja huku... ila sababu nyingine nimeziweka kapuni... basi akawa ananilazimisha mimi niwe mpenzi wake, kiukweli ilikuwa ngumu kwani sikwua na hisia naye za kimapenzi hata kidogo, nilimpenda kama rafiki na nilikuwa close naye na nilimueleza 90% ya siri zangu, kifamilia, kikazi, kimahusiano so alikwua nanifahamu fika hivo ilikuwa ni ngumu sana..... asi mwaka huu mwanzoni nikaona anazidi kwua serious nikamwambia kuwa mimi na wewe hatuwezi kuwa wapenzi cos kiukweli sina hisia kabisa na wewe ila nakupenda kama rafiki yangu wa karibu sana. alinielewa na mimi nilishikilia msimamo wangu wa kutomvulia pichu na alivyoona nimekuwa na msimamo akabadili nia na kukubali msimamo wangu. ... mpaka leo urafiki unaendelea na ameshapata mchumba na anatarajia kuoa mwanzoni mwa mwaka ujao! So urafiki kati na mwanaume na mwanamke unaweza kufika mbali iwapo mwanamke ambaye ni muhanga atakwua na msimamo katika huu urafiki!!!!!!
charminglady ingekuwa mimi ndio huyu jamaa ningekuendea kwa mganga huko Mkwaja Tanga na wallahi usingepindua nakwambia.......LOL
:focus:
Nimefurahishwa na msimamo wako.......
Niliacha kutoa majibu kwa swal hilo nikiamini kwamba hapa JF kuna vichwa na nimefurahi kwamba wengi wamechangia kwa ku-balance, kwamba kuna wakati jambo hilo linaweza kutokea na mwanamke akawa na maamuzi kulingana na utashi wake. kama mwanamke hana mpenzi na ana hisia za mapenzi kwa huyo mwanaume sawa, wanaweza kusongesha, lakini kama ana mpenzi, itakuwa ngumu, lakini pia hata kama hana mpenzi lakini hana hisia za kimapenzi kwa huyo mwanaume pia mwanamke anaweza kuwa na msimamo wa kukataa..............
 
binafsi nshawah kuwa narafiki wa namna hyo huko nyuma mm nlikuwa single na yy alikuwa na mpenz wake, ni kweli tulidumu mda mrefu kama marafiki, baadae jamaa akaanza kunitongoza, mwanzon nlijua utan coz tulikuwa tunataniana sana so nkawa nachukulia kiutan pia, baada ya mda sana nligundua kuwa alikuwa serious ila niliendelea kumchukulia kiutan mpaka mwenyewe akachoka. Nafkr kilichonisaidia pia ni kuwa hatukuwa na nafac yeyote ya kuwa kwenye mazingira ambayo yangeprovoke action zngne. ila mi huwa naenjoy sana company ya wanaume, ukimpata anayejitambua na muelewa mnaweza kuwa marafiki wazur sana ingawa nafac ya kufall in love nayo ni kubwa mno.
 
Kama mimi Mzee Mtambuzi..........................LOL
 
hebu rafiki zangu woooote wa kiume mkuje fasi ya pm, nina neno na nyie! khaaaaaaaa!
 
Neema tusema ulikuwa na mpenzi ikatokea mmeachana na yeye anaye mpenzi lakini uhusiano wao hauko vizuri... mpenzi wake amekuwa akim dissapoint mara kwa mara na unajua hayuko happy katika huo uhusiano.....
Haya funguka mwanakwetu
siwezi hata iweje siwezi.kwani mimi ni keep change? amuache kama alivoniacha mimi kama hana furaha mwe!
 
katika vitu ambavyo huwa having'ang'anizwi ni urafiki Mtambuzi...
uwe wa kimapenzi...au ubest.......

situation hizo zinatukuta sana wadada...kaka zetu sijui mna matatizo gani....hamuwezi kuwa close na msichana mpaka mtangaze nia....

kwangu mie jibu ni simple tu, sichanganyi urafiki na mapenzi...kama ni best friend utaendelea kuwa best friend, na tatizo sie wanawake tunakua huru sana na mabest friend zetu regardless ni mwanamke au mwanaume..... (nadhani hiyo ndo inawachanganya wanaume mnadevelop hisia za kimapenzi? au tamaa tu?)

sasa best unapotaka kipochi manyoya nakwambia wazi hapa, na inakuwa rahisi sana maana haijalishi kuwa nipo free kwako kwa kiasi gani, haijalishi nashare na wewe nini always kuna a very fine line ambayo haiweze kurukwa/kuwa ignored.......

sasa kumeza au kutema shauri yako....
ukinielewa na kukubali inakuwa fresh sana....

usiponielewa halafu ukaninunia au kuanza visa nakupotezea tu mazima..... mawasiliano au urafiki huwa haulazimishwi kamwe.....

Pia mapenzi huja na kuondoka..................

well said BADILI TABIA yan kuna wanaume wanapenda kuchovyachovya tu, cjui wanahisi huwa tunawataka sasa wanajidai kulianzisha wao ilhali kumbe hatuna hata hisia juu yao bali urafiki tu.............
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tuangalie hii issue kwa jicho la pili.

So far waliotoa ushuhuda tokana na experience zao...wanaume uishia kuwatongoza female friends wao.
Je mdada/mke ukiwa na urafiki na wanaume unadhani mumeo/boyfriend wako unamtendea haki knowing that likelihood ya kutongozwa ni kubwa?

Kwa wadada naweza elewa ni kwa nini wana prefer male friends...ni imani kuwa wanaume wanaongelea maendeleo unlike wanawake...Kwa hiyo ukiangalia kiwepesi ni kuwa wanawake wanafaidika na marafiki wa kiume japo risk ni kushawishika kuingia kwenye mapenzi (kama mwanamke ana other commitment ni mbaya kama hana poa tu)....Kwa wanaume ni nini kinawavutia ku befriend wanawake??? Wanapenda mambo ya kike au ni janja yao ili wapate wepesi wa kutongoza???? Mnapenda nini?

Kuna baadhi ninao wajua ambao wanapenda kuzungukwa na wanawake...nikichunguza wanakuwa mara nyingi ni watoto wa pekee wa kiume kwenye familia hivyo wamezoea toka utotoni kuji mix na ladies... Wengine ndo hivyo tu inawasaidia kuwapata hata wale wagumu kwa kuanzia kwenye urafiki. Itakuwa sahihi kusema wengine ni janja yao.

Na wanaume fungukeni mtuambie mnapendea nini urafiki na watoto wa kike badala ya kukaa na wanaume wenzenu vijiweni???
 
katika vitu ambavyo huwa having'ang'anizwi ni urafiki Mtambuzi...
uwe wa kimapenzi...au ubest.......

situation hizo zinatukuta sana wadada...kaka zetu sijui mna matatizo gani....hamuwezi kuwa close na msichana mpaka mtangaze nia....

kwangu mie jibu ni simple tu, sichanganyi urafiki na mapenzi...kama ni best friend utaendelea kuwa best friend, na tatizo sie wanawake tunakua huru sana na mabest friend zetu regardless ni mwanamke au mwanaume..... (nadhani hiyo ndo inawachanganya wanaume mnadevelop hisia za kimapenzi? au tamaa tu?)

sasa best unapotaka kipochi manyoya nakwambia wazi hapa, na inakuwa rahisi sana maana haijalishi kuwa nipo free kwako kwa kiasi gani, haijalishi nashare na wewe nini always kuna a very fine line ambayo haiweze kurukwa/kuwa ignored.......

sasa kumeza au kutema shauri yako....
ukinielewa na kukubali inakuwa fresh sana....

usiponielewa halafu ukaninunia au kuanza visa nakupotezea tu mazima..... mawasiliano au urafiki huwa haulazimishwi kamwe.....
BADILI TABIA sijui ulishawahi kusoma huu uzi?

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ili-hizi-za-wanawake-sio-za-kweli-kabisa.html
 
Last edited by a moderator:
mmmh swali zuri sana hili nyumba kubwa....
ninafsi sipendelei urafiki na wanawake......sio kwamba sina marafiki wanaake , la hasha, ninao ingawa si wengi kama wanaume....

mie huwa si mwepesi kuzoeana na mtu, napenda kumchunguza taratibu kabla sijamzoea mazima.....
tatizo wanawake sisi hatuchelewi kutetana, kusengenyana na vitu vingine vya ajabu....
shida zako hawachelewi kusambaza mpaka mtaa wa kumi na moja.....

tofauti na wanaume (sio kwamba wanaume wambea hakuna..la hasha),
ila mwanaume ni rahisi kumpa business deal mkalisogeza kila mtu akachukua chake akasepa...
rahisi kukushauri vizuri tu katika maswala mbali mbali...
rahisi kuchukulia vitu easy na kusonga mbele......
rahisi kuzoeana
akikosea ukamwambia hatake personal

mfano hai mwaka jana, nilikuwa kwenye grupu fulani ya wanawake huko fb, kuna biashara tulifanya huyo dada akanirusha hela yangu na kuzunguka kwa membas kupika jungu... too bad mimama mijitu mizima badala ya kutafakari ikakaa kushadadia umbea...kwa kweli i was pissed off, nikaamu kusamehe hiyo pesa na na kuachana na wale wanawake.... suprising enogh group yenye mchanganyiko wa males n female hakuna umbea wala majungu...una mzigo unatangaza unalipwa, kunatatizo unasema linasolviwa maisha yanaenda... mkikutana strickly business dakika kadhaa mnasepa....

baada ya experience hii sitaki tena kujaribu females frind, nilionao wanatosha.....

ingawa nikitoka nje ya mada, ni vyema kuwasoma what so called frienda, wetu, kujua udhaifu wao na uimara wao na kuwachukulia jinsi walivyo.....bila kusahau wanawake kusimama imara kwenye maamuzi, wanaume hawa ukiwa strick kuwa hutaki mapenzi wala hawatakusumbua

Kwa wadada naweza elewa ni kwa nini wana prefer male friends...ni imani kuwa wanaume wanaongelea maendeleo unlike wanawake...Kwa hiyo ukiangalia kiwepesi ni kuwa wanawake wanafaidika na marafiki wa kiume japo risk ni kushawishika kuingia kwenye mapenzi (kama mwanamke ana other commitment ni mbaya kama hana poa tu)....Kwa wanaume ni nini kinawavutia ku befriend wanawake??? Wanapenda mambo ya kike au ni janja yao ili wapate wepesi wa kutongoza???? Mnapenda nini?

?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha charminglady,
umenikumbusha kuna rafiki yangu aliamua kumaliza soli zake za viatu kwangu....
imagine tulikuwa frienda toka form 1 hadi tulipoingia chuo(tulikuwa vyuo tofauti)
tulipofika vyuo ndo kaanza kurusha ndoano...
nilipokataa akakata mawasiliano....
miaka mitano baadae ndo kanikumbuka na kuomba radhi...
sasa tu marafiki ingawa siwezi muita best friend....urafiki uliobakia ni wa kimjini mjini tu........

ila nadhani baada ya kuoa na kupata 1st born akapata akili za kiutu uzima????????

well said BADILI TABIA yan kuna wanaume wanapenda kuchovyachovya tu, cjui wanahisi huwa tunawataka sasa wanajidai kulianzisha wao ilhali kumbe hatuna hata hisia juu yao bali urafiki tu.............
 
Last edited by a moderator:
MtotoSix, we bado mtoto kumbe! Usijethubutu kuniomba urafiki...........:shetani:

mi mkubwa ndo maana najua hakuna urafiki kati ya mbuzi na nyasi hata siku moja, kama tukiwa marafiki lazima mmoja wetu atakuwa anawaza jinsi ya kugeuza urafiki uingie steji nyingine
 
Back
Top Bottom