Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

Kama ni rafiki wa ukwelii hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.

Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
Kaunga marafiki wengi hawatumii nguvu kumaliza kazi huwa wanakula kiulainiiii tena bila hata kutongozana Mtambuzi hajajua
Tena baada ya kupiga shughuli ndio mnaulizana status ya mahusiano yenu eti ni wachumba au marafiki? Coz wamejikuta washaharibu bila kujua
 
Last edited by a moderator:
Hamna mtego mbaya kama wa kurafikiana na m'ke halafu ukageuza kibao kutaka nonino. Wengi hawachomoki, wanaingia kiulaini.
Hivyo basi ukiwa na mpenzi halafu kakutambulisha kwa mvulana kuwa rafiki yake wa kawaida, we jua tu kashachimba viazi.
 
Hewaaa, hapa sasa najua utawasaidia wanaume wengi wanaotega mingo humu JF...........
Haya hayaaa ................ wale wanaume single watega nyavu wanaokesha humu JF wakiwa na ndoto za Alinacha kuvizia bahati ziwadondokee, bi dada Neema keshafunguka, nyie songesheni tu, kumbe inawezekana................

mmmmnh....:wacko:
 
Kaunga marafiki wengi hawatumii nguvu kumaliza kazi huwa wanakula kiulainiiii tena bila hata kutongozana Mtambuzi hajajua
Tena baada ya kupiga shughuli ndio mnaulizana status ya mahusiano yenu eti ni wachumba au marafiki? Coz wamejikuta washaharibu bila kujua

Kama wote hamna mahusiano ya pembeni sawa, tena nafikiri mahusiano yanayoanza from friendship ni mazuri zaidi! Lkn kama una mpenzi, halafu rafiki analeta hiyo kitu; haifai.
 
Last edited by a moderator:
Simpi hata kwa juu juu. Urafiki ukikomaa hivyo then mkaubadilisha mkijakugombana hakutokuwa na urafiki wala mapenzi. Si unajua ugomvi wa mapenzi nao hamchelewi kubwagana.
Kama una rafiki ni bora abaki kuwa rafiki.
 
rafiki yangu mkubwa na wa karibu ni mwanaume zaidi ya miaka 8 sasa, yaani mambo mengi tumeshirikiana na kuwa pamoja kwenye misukosuko na hata furaha..hajawahi kunionyesha fikira tofauti wala mimi kumtega..nahisi siku ingefikia hivyo urafiki ungeweza kuisha. Kila mmoja wetu ana mpenzi wake na maisha yanaendelea, tena anakaribia kuoa.
 
quote_icon.png
By Erickb52
Hapana Michael Scofield
Acha kucheza na mtoto wa kiume hakuna linaloshindikana aisee

Poa mkuu [MENTION]Erickb52 [/MENTION]nakutakia kila la kheri.
 
Kama wote hamna mahusiano ya pembeni sawa, tena nafikiri mahusiano yanayoanza from friendship ni mazuri zaidi! Lkn kama una mpenzi, halafu rafiki analeta hiyo kitu; haifai.
Yeah uko sahihi Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nkwambie kitu Mtambuzi...Marafiki hawatongozani kwa hiyo rekebisha uzi wako...wanajikuta wameanza ku do to mmoja akidhani ni accident huku mwingine alikuwa ame plan from the start.

Ndio maana nasemaga hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Watu wanamegana wakati kila mtu ana wake kwa kificho cha urafiki.
 
Ngoja nkwambie kitu
Mtambuzi...Marafiki hawatongozani kwa hiyo rekebisha uzi
wako...wanajikuta wameanza ku do to mmoja akidhani ni accident huku
mwingine alikuwa ame plan from the start.

Ndio maana nasemaga hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Watu wanamegana wakati kila mtu ana wake kwa kificho cha
urafiki.
lakini si lazima wazungumze kwanza.......... vinginevyo hiyo itakuwa ni kubaka
kuzungumzia jambo hilo ndio kutongoza kwenyewe
 
Aaaaha mkuu umenichekesha hapo
kwa red. Naona umeamua kupeperushia watu ndege wao. Halafu ulivyo
mjanja, umetuzuia sisi tusitie neno....... haya bana ngoja tuwe wasomaji
tu!
hebu nipe uzoefu wako basi.....
 
Hahahaaa na kweli nakumind
coz unatuharibia mitego yetu lol
Back to topic
Hili suala ni la kweli na kwa kawaida kuhusu kubadili mahusiano huwa
inakuja bila kujua yani wahusika wanajikuwa wako ndani ya love na
Mtambuzi kwa kawaida mtu mliyekuwa nae kwenye
urafiki wa kawaida(Upendo wa Agape) then mkaingia kwenye mapenzi
mengine...mahusiano huwa mazuri sana na heshima kubwa sana na huwa
yanadumu kuliko kawaida.
Na kimaisha inashauriwa kuwa na urafiki wa kawaida kwanza ndio mapenzi
yafuate.
Ila kwa akina waluwalu kama Bishanga wao
wakiona mdada kawazoea kidogo wanataka tamtam lol hao ndio
mashaka.
najua Bishanga anauma vidole huko alipo..........
 
Last edited by a moderator:
Kama
ni rafiki wa ukwelii
hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka
kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.

Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!

Kaunga wanaume wana mbinu we acha tu, unamkuta
mwanaume analia kama mtoto mpaka mwenyewe unalainika......
Si unajua rafiki ni bora kuliko mwanasesere
 
Last edited by a moderator:
Kaunga wanaume wana mbinu we acha tu, unamkuta
mwanaume analia kama mtoto mpaka mwenyewe unalainika......
Si unajua rafiki ni bora kuliko mwanasesere

ha ha ha! Umenikumbusha mbali kweli.
Bahati nzuri mimi mwanamume akinililia tu ninamdiskwolifai! LOL
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Back
Top Bottom