Usipopenda kuulizwa nawe usiulize mwache awe huru azurure atakavyo subiria arudi muda anaotakaSijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...
Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...
Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
- Uko wapi...
- Uko na nani...
- Unafanya nini...
- Ulikuwa wapi...
- Ulikuwa unafanya nini...
- Ulikuwa unaongea na nani...
- Unarudi sangapi...
Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
[emoji38][emoji38][emoji38]ukiulizwa uko wap na pisi mbovu ni kelo tu siku zote. [emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Lakini aulize my everything [emoji813] weeeee ni unyama tu nawaza anataka show nn [emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji7]
Kwenda huko [emoji2][emoji124][emoji124]Na mimi nimenuna sitaki kuulizwa [emoji23][emoji23]
Sa kwa nini na wewe uwe na pisi mbovu πukiulizwa uko wap na pisi mbovu ni kelo tu siku zote. ππππ
Lakini aulize my everything β₯ weeeee ni unyama tu nawaza anataka show nn π₯°π₯°πππ
Nipo njiani nakuja kwako babyKwenda huko [emoji2][emoji124][emoji124]
Uje na hicho kigauni chako β¦[emoji3526]β©Nipo njiani nakuja kwako baby
Hayupo...
Kurahisisha kazi π€£π sawaUje na hicho kigauni chako β¦[emoji3526]β©
[emoji16][emoji16][emoji16]Kurahisisha kazi [emoji1787][emoji23] sawa
Mimi ambalo silipendi kupita yote ni unarudi saa ngapi ..nachukia kweli hasa shida za usafiri hapa mjiniSijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...
Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...
Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
- Uko wapi...
- Uko na nani...
- Unafanya nini...
- Ulikuwa wapi...
- Ulikuwa unafanya nini...
- Ulikuwa unaongea na nani...
- Unarudi sangapi...
Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
ila matumizi ya l na r ni janga la taifaukiulizwa uko wap na pisi mbovu ni kelo tu siku zote. ππππ
Lakini aulize my everything β₯ weeeee ni unyama tu nawaza anataka show nn π₯°π₯°πππ
Mkuu tupunguze mfumo dume wakat mwingine..Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...