Mwanamke usimtamkie haya mwanaume

Mwanamke usimtamkie haya mwanaume

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Kuna wanawake ambao ni kana kwamba hawana chujio la maneno akilini mwao.Hutamka tu maneno bila kujua athari za baadae ktk mahusiano yao.Kauli hizi wawe makini nazo;
..
..NIMEWAHI KUPENDWA NA WANAUME WAZURI KULIKO WEWE!!
Kauli hii haipendezi masikioni mwa mwanaume.Kama we ni mzuri kwa nini upo na mimi nisie mzuri?
..
NITAMBULISHE BASII KWA HUYO RAFIKI YAKO
Hapa jitahidi kuwa na subira mpaka atakapoamua kukutambulisha mwenyewe vinginevyo unapenda kujua kipimo cha wivu wake.
..
KWA NINI HUKUBALI UMESHINDWA?
Kauli hii ni kama huna imani nae.Matatizo ktk maisha ya mwanaume ni jambo la kawaida.Hapendi kulinganishwa na kushindwa.
..
WANAUME WENZAKO WANAWEZA,,WE MWANAUME GANI?
Hapa unatafuta kadi nyekundu bila sababu.Wanaume hawapendi kulinganishwa.
..
YAANI MPAKA TULIONGELEE LEO LEO AMA SIVYO PATACHIMBIKA
Hapa mwanaume anajua ana makosa,anaweza kuhisi huko unaenda kumlaumu.Na kama mpo ktk uchumba atajua huna tabia ya kuongea mambo kwa hekima.Ni mwanamke mtawala.
..
MBONA RAFIKI ZANGU WANAPEWA KILA WANACHOWAOMBA WANAUME ZAO?
Iwe ni pesa,mavazi,magari,au mengineyo,unatakiwa ujue kuwa kila mtu ana maisha yake.Kulazimisha upewe tu kila unachotaka ni heri ukawafuata hao
..
KAMA NI HIVYO BASI HUNIPENDI,,EE HUNIPENDI
Wanaume hawapendi kulazimishwa kutimiza wajibu wao ilimradi tu ndio njia ya kuthibitisha upendo wake kwako.Ukikutana na mwanaume kichaa,hata uwe mzuri kupita uzuri wenyewe atafanya juu chini akuthibitishie kutopendwa kuna maana gani
^^
 
Mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?
 
Ni kweli wanawake wanamaneno sana bt na wanaume msijisahau kila kukicha kuchambua k, tu
 
Teh teh teh.......
Upo sawa kabisa si zinampanda hasira sasa anafanya kweli.
Sasa siku ukimtia hasira sana utatambaaaa!!!!!!!!
 
Ni kweli wanawake wanamaneno sana bt na wanaume msijisahau kila kukicha kuchambua k, tu

^^
Ha haa K ndio kiungo pekee cha kuwaweka pamoja.Bila hiyo sijui hali ingekuwa vipi
^^
 
Mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?
na nyie kwani kufanya ni vita?
 
mie sioni y mwanaume una kasirika demu akisema kidudu chako kiduchu...sawa kiduchu ila sii nilishakugegeda so huna jipya. katafute wenye dudu kubwa uongeze idadi ya walikugegeda

Utakuta hujamgegeda sasa.....si unajua tena swagger za mujini mtu kaishika ikiwa katika surual au vyovyote vile lakin hujampelekea mshadede basi anaMind ile mbaya ukimwambie hivyo.
 
mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?
kumbe una mume alafu unataka ukamlengeshee obama mimba ?astakafurlah laazim laanantulah mwanamke wewe katubu
 
Back
Top Bottom