Mwanamke usimtamkie haya mwanaume

Mwanamke usimtamkie haya mwanaume

Mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?

Hivi kumbe una hubby? sasa inakuaje uwe na genye na obama? jifunze kuwa muaminifu kwa hubby wako.
 
Mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?

astakafirwallah
 
Asa wewe sakapal kumbe una hubby? Obama unamtakia nini tena ? Mana mmeo naona anakuweza Peke yake... Hahaaaaaaa
 
Hahaha nyie watu mna visa.......... ila wapo na wale wanaume wanaowaambia wenzi wao............Mh na wewe kati ya wanawake wazuri unajihesabu umo?
 
Je ni mambo gani mwanaume hapaswi kutamka kwa mwanamke??

^^
Mrembo by Nature
Ni mengi pia ila machache ni kama
1.
KUMUULIZIA SANA HABARI ZA RAFIKI ZAKE
Mf.kila mara anataja juu ya uzuri au upole wa dada yako au rafiki yako,,hilo ni tatizo (Women feel jealousy as hell)
2.
KUMZUNGUMZIA EX-WAKE
Wanawake hawajisikii vizuri pale mwanaume anapozungumzia lolote kuhusu X wake.Anapenda kuona kuwa yeye ameshaziba pengo lililoachwa ktk moyo wa mwanaume.(Beauty and goodness belongs to her alone)
^^
 
Last edited by a moderator:
Mie nikigombana na hubby huwa namwambia ungechelewa kidogo ningekuzaa maana unavontia sijakoma kinachofuata baada ya hapo anantia mfululizo hadi nikienda bafuni natembea migulu baja au simama dede. Sasa hapo pia huwa nakosea au ni sawa?
Lol, kweli hii ni JamiiForums! Watu wamepinda.....!
 
Wengine utawasikia, "kaniniu kenyewe kadogo, nikikohoa kanatoka".

Pumbavu zako.

Hahahaaha, halafu sijui kwa nini wenye visoseji wanapendA KUTONGOZA TONGOZA KILA MWANAMKE APITAYE! HAWAONI AIBU? au ndo katika ku......
 
wape somo maana wanawake wa siku hizi hawana adabu kabisaaa kwa waume zao
 
Mnakera, ndio maana wakati mwingine mnastahili kuambiwa maneno kama hayo. Kwani nyie ni kina nani mpaka msiambiwe, mbona hata nyie mna midomo michafu, tunawavumilia. Na nyie vumilieni kama ni rahisi.
 
Back
Top Bottom