Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Kiukweli huwa inanichanganya sana ninapojiuliza swali hili mwenzenu. Wengine wanasema thamani yao ni nyumba nzur, wengine usafiri ulioenda shule na mengine mengi. Najua hapa jamvini hariharibiki neno tafadhali hebu tujadili hili kwa mtazamo wako nini hasa thamani ya mwanamke.