Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Siasa na mimi ni kama mgonjwa wa jino na mahindi ya kukaangwa vile ujue[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaa. Umekuwa ka mieeee. Kwanza sipendi Stress sasa majukwaa ya Stress na mie hapana aiseee.

Sababu kuanza kuwaza mbona mishahara haipandi sijui nini na nini. Hapana aiseeee.

Wacha tuongeze umri huku.
 
Hahaaa. Umekuwa ka mieeee. Kwanza sipendi Stress sasa majukwaa ya Stress na hapana aiseee.

Sababu kuanza kuwaza mbona mishahara haipandi sijui nini na nini. Hapana aiseeee.

Wacha tuongeze umri huku.
Siasa zenyew za maji machafu za kazi gani sasa.

Si bora huku mtu unafurah,,kwanza hii tz ukiifatilia sahv mbona unaugua ugonjwa wa moyo kabisa,sasa cha kufia nn
 
Hahaaa. Umekuwa ka mieeee. Kwanza sipendi Stress sasa majukwaa ya Stress na hapana aiseee.

Sababu kuanza kuwaza mbona mishahara haipandi sijui nini na nini. Hapana aiseeee.

Wacha tuongeze umri huku.
Hlf weeeewe![emoji23] [emoji23] [emoji23]

ebu sogea nikuchape kibao cha kukupongeza kwanza!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom